Wewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.
Inaonekana una utapiamlo wa elimu.
Neno sahihi la Kiswahiki ni "furahi" si "fulahi".
Wewe nawe ni country bumpkin usiyejya tofauti ya "r" na "l" kama Magufuli?
Hiyo ndiyo sababu unajishebedua hapa dhidi yangu?
Wewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.
Inaonekana una utapiamlo wa elimu.
Neno sahihi la Kiswahiki ni "furahi" si "fulahi".
Wewe nawe ni country bumpkin usiyejya tofauti ya "r" na "l" kama Magufuli?
Hiyo ndiyo sababu unajishebedua hapa dhidi yangu?
Tofautisha typographical error inayotokana na ku type kwenye simu (herufi y na u zipo kirani kwenye keyboard) na kutojua tofauti ya "l" na "r" katika Kiswahili.Unajifanya kujua wakati pia unakosea,
Hilo neno "usiyejya" lina maana gani kwenye kiswahili?
Sawa kabisa mkuu, hata hivyo wewe ni muokoteza vijimakosa vidogovidogo na kujitafutia umaarufu, endeleaHapa hata sijaelewa unataka kujenga point gani.
Uwezo wako wa kujieleza naona una matatizo.
Magufuli kufanya kosa la kuchomeka ukabila katika suala ambalo halina ukabila kusitufanye sisi wananchi tuseme Tanzania ina makabila zaidi ya mia?
Wapi nimesema Tanzania ina makabila zaidi ya mia? Mimi sitaki kuongelea makabika, nataka rais atuunganishe kwa kuongelea Watanzania bila makabila, sasa hapo utasemaje naongelea Tanzania ina makabila zaidi ya mia?
Yani kujiharishia ajiharishie Magufuli, halafu lawama utupe sisi tunaosema Magufuli kajiharishia?
Hivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?
Kosa la kuwagawa wananchi kwa ukabila, katika Tanzania ya leo ambayo kuna malalamiko ya nchi kumeguka kwa ukabila na Magufuli kuteua watu kwa ukabila, unaliita kosa dogo?Sawa kabisa mkuu, hata hivyo ni muokoteza vijimakosa vidogovidogo na kujitafutia umaarufu, endelea
Kumbe uko huko unalishwa uwongo na kuushobokeaKosa la kuwagawa wananchi kwa ukabila, katika Tanzania ya leo ambayo kuna malalamiko ya nchi kumeguka kwa ukabila na Magufuli kuteua watu kwa ukabila, unaliita kosa dogo?
Mimi niliukimbia umaarufu Tanzania.
Nitatafuta vipi umaarufu kwa jina la kujificha JF? Unisaidie nini?
Uongo wangu kwamba Magufuli kaongea habari za ukabila zisizo na tija umeukubali lakini.Kumbe uko huko unalishwa uwongo na kuushobokea
Kosa la kuwagawa wananchi kwa ukabila, katika Tanzania ya leo ambayo kuna malalamiko ya nchi kumeguka kwa ukabila na Magufuli kuteua watu kwa ukabila, unaliita kosa dogo?
Mimi niliukimbia umaarufu Tanzania.
Nitatafuta vipi umaarufu kwa jina la kujificha JF? Unisaidie nini?
Wengine umaarufu tumeukuta familia zetu tangu enzi za LEGCO na enzi Azania Front linajengwa 1903.
Ni kitu tulichokikimbia, si cha kutafuta.
Kumbe naye nanunua nikajua ndo aliyechimba ila nilivyo kuwa namwona appearance nikawa na mashaka maana Yuko soft kimtindouyo ana miliki makarasha kibao
Huu upumbavu muwe mnawadanganya kijani wenzenu mnapanga mijinga ili kuficha maupumbavu yanayoendeleaRais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni.
Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa kisukuma
Tukio la makabidhiano ya pande hilo kubwa la kihistoria la Tanzanite lilifanyika wilayani Simanjiro na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Madini mh Biteko.
Pia alikuwepo Gavana wa benki kuu Prof. Luoga, Naibu Waziri wa Madini, Naibu Waziri wa Fedha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na DC wa Simanjiro mh Chaula aliyemwakilisha RC Mnyeti ambaye hakuwepo kwa sababu ya kupata dharura.
Tukio lilirushwa mubashara na TBC.
Pia soma > Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh Bilioni 7.8
Maendeleo hayana vyama!
Tofautisha typographical error inayotokana na ku type kwenye simu (herufi y na u zipo kirani kwenye keyboard) na kutojua tofauti ya "l" na "r" katika Kiswahili.
Kutojua tofauti ya "l" na "r" kwenye Kiswahili ni alama ya ushamba na elimu duni.
Magufuli naye hajui tofauti hii. Ni mshamba. Mtu mwingine ambaye hajui tofauti hii ambaye ni mshamba kama Magufuli, naweza kuelewa asiponielewa.
Kasema watu fyatueni yeye atasomesha.Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
...🤔🤔🤔... Kukopwa tena?usikute kakopwa au ni maigizo hii serikali bajeti ya kilimo bilion 5 itatoa wapi bilion 7.8 ?
tuache kudanganyana
Kwa wajinga kama wewe ndo unaweza kung'ng'ania vitu ambavyo haviwezi kubadilisha maisha yako, herufi kwa kiswahili haiwezi kubadili maana kama kiingereza, sanasana ni lafudhi tu katika kutamka kulingana na kabila.
Akili yako ndogo mno.Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?