johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wabunge wako walikimbia lakini Job anadunda!kwa sukari aliyokuwa nayo Ndugai akipigwa na Korona haichukui round tunaimba Parapanda.
Ha ha ha ha ha nazan anataman Ackson Tulia Achukue kiti kileWale wasaidizi wanaomletea vikaratasi na maji hawana contact nae.
Au mzee baba ameshamchoka?
Kama kuvaa mask tu anazalilishwa hadharani namna hii angekimbia vikao si angetumiwa wasiojulikana wamalizane naye?Wabunge wako walikimbia lakini Job anadunda!
wale wahudumu wanaomletea vimemo pale kila baada ya dakika kadhaa hamuwaoni??Itakua mzee alijisahau tu, ila inafikirisha kuvaa barakoa hata ukiwa peke yako.
Wale wahudumu wakivaa barakoa inatosha bwashee!wale wahudumu wanaomletea vimemo pale kila baada ya dakika kadhaa hamuwaoni??
pale alipokaa yupo kwenye chumba chake peke yake anatumia hewa yake peke yake??
Hizo shule mlienda kusomea u-praise team??
Hapa Dar kwa sasa barakoa zinavaliwa Ufipa pekee.....muda wa mbege zinawekwa videvuni!huu ugoro danganyanana na mataga wenzako.
Labda ile iliyo toka Madagascar hakupewakwa sukari aliyokuwa nayo Ndugai akipigwa na Korona haichukui round tunaimba Parapanda.
Watu wamedondoka mle mjengoni lakini chuma Job kinadunda tu!Yule dakika10 tunaanza kusherekea
Ila huwa inashangaza kweli muda mwingine...unakuta jitu lipo ndan ya gari yake tena pekeyake...limefunga vioo halafu bado limevaa barakoa