Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa anaposema tuchukue tahadhari ni zipi?Mimi nasema aipinge hata zaidi ya hapo. Tokea Corona ianze, sijafanya upuuzi wa kuvaa barakoa.
Lakini waoga waoga wote, endeleeni kuvaa barakoa mkijikinga na kaugonjwa ka mafua.
Jamaa ana allegy na neno Corona !!. Duh hii ngumuRais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.
Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu - Rais Magufuli
Maendeleo hayana vyama!
Mie navaa barakoa toka day one na sijaambukizwa Corona ya kwenye barakoa.Mimi nasema aipinge hata zaidi ya hapo. Tokea Corona ianze, sijafanya upuuzi wa kuvaa barakoa.
Lakini waoga waoga wote, endeleeni kuvaa barakoa mkijikinga na kaugonjwa ka mafua.
Ndugai ni bwana kilimo!
Kwa bandiko lako Unataka kutuambia Katiba yoooote ya Tanzania ni NADHARIA TU??Huo Ni wendawazimu na pengine ndiyo maana Awamu ya Jiwe kuna UKIUKAJI NA UVUNJAJI ULIO KITHIRI WA KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA....!!So sad!
Inaonekana ndugu Mwalimu wako alipata taabu Sana kukufundisha mpaka kuelewa.
Neno SEPARATION ni KUTENGANISHA kabisa...a total separation of Powers kiasi kwamba hii Mihimili 3 haingiliani au kugongana kwa namna yoyote ilr.
Serikali, Bunge na Mahakama hazitakiwi kuingiliana hata kidogo.
Mfano hai: Hivi Juzi Rais Magufuli akiwa Chato alitoa maagizo kwa Spika wa Bunge asitoe Posho kwa Wabunge wa CHADEMA walioamua kujitenga kuangalia kutokana Covid-19! Hilo lilikuwa kosa kubwa Sana Kikatiba...!!inasikitisha sana!
Ndugu Rais kwa katiba ya nchi hii anaweza kufanya lolote na bla kuulizwa na yoyote
Hahahaaaa....... au mlienda wote manka?Nna hakika saa unaandika huu utumbo ulikua unajicheka.