Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

😂😂😂😂 watu wanatoka mbali sana pata picha hapo magu na suti yake akiwa anaongea, kina kabudi wahandisi na wengine wangekuwa wanaona huyu ngosha anaongea nini na msuti wake. Ila saivi sasa magu akisema ni kusimama na kujibu kwa unyenyekevu ulitukuka. Madaraka ni juu ya kila kitu asee.
 
Mambo mengine... Yaani mtu mwingine kuvaa barakoa, tena kipindi hiki cha corona, mimi nikereke? Huu ndio udikteta wenyewe sasa.
 
😂😂😂😂 watu wanatoka mbali sana pata picha hapo magu na suti yake akiwa anaongea, kina kabudi wahandisi na wengine wangekuwa wanaona huyu ngosha anaongea nini na msuti wake. Ila saivi sasa magu akisema ni kusimama na kujibu kwa unyenyekevu ulitukuka. Madaraka ni juu ya kila kitu asee.
Wewe uliishi nyakati hizo?............Nyakati za Mbowe Hotels na YMCA?

Nyakati za Msondo ngoma na Sikinde?

Nyakati za mzee Issa Matona na Bi Kidude?!!

Maendeleo hayana vyama!
 
Nisalimie Lumumba.. Leo ni Ijumaa Jo vp mmecheka au bajeti imepelekwa kwenye uchaguzi?

Jr[emoji769]
Bwashee hapa Lumumba kila siku ni kicheko ndio maana Lijualikali kaomba kazi ya kumpikia chai mzee Mgaya!
 
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.

Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu - Rais Magufuli

Maendeleo hayana vyama!
Wakati viongozi wengi mashuhuri duniani wanaliangalia kwa taadhari zote muhimu za kiafya janga hili la gonjwa la COVID-19 ktk "worst scenario case" na hata kuzidi kusisitiza watu wote kuchukua taadhari zote muhimu dhidi yake. Hapa kwetu hali tofauti kabisa.

Wakati shirika la UN la WHO likizidi kufanya michakato ya uwepo wa chanjo ya uhakika na salama, ikiwa ni hakikisho la kiusalama juu ya afya za watu duniani, huku bado likiamini bila hivyo "the worst has yet to come due rampant of these pandemic disease". Hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.

Je! Imefika kweli kiwango cha mtu kuvaa barakoa hadharani kuanza kuonekana kama kituko? Kuna ule msemo usemao; "the listening ear cannot be cut from the head, otherwise......."
 
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.

Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu - Rais Magufuli

Maendeleo hayana vyama!
A1naweza asivae tena maana mkuu keshasema.Mwishowe watakaoendddelea kuvaa wataonekana ni chadema usishangae wakikamatwa.Rais tulilamba
 
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.

Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu - Rais Magufuli

Maendeleo hayana vyama!
Yohana huu sasa ni uchochezi ndio na picha umeipachika kabisa. Ahaaaa chagu wa malunde
 
Tusitishane Bure Tuchape Kazi
COVID 19, Hakuna Tanzania
 
Hapa Mby jana mtu katangulia kwa hili dude
 
Lol mi huwa sielewi kwanini tunashtuka Musiba akimusiba, sababu kusema ukweli sioni tofauti.
 
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.

Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu - Rais Magufuli

Maendeleo hayana vyama!

Spika Ndugai atumbuliwe kwa kuvaa "libarakoa" peke yake Bungeni😎
 
Back
Top Bottom