Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

Aksante baba kututangazia kuisha kwa Korona. Naomba shule zifunguliwe. Tunapata taabu sana kuwazuia watoto kuzurura. Wanauliza kwa nini tunawazuia kutembea na hali ugonjwa umekwisha? Chonde chode baba fungua shule.
 
Vuta subira mtatangaziwa soon!
 
Spika ndugai apigwa marufuku kuvaa barakoa na mwenyekiti. CCM hii tamu sana wanyooshe kisawa sawa.
 
Kumbe wanapima corona! Sasa hicho kifo hakijatangazwa?
 
Aksante baba kututangazia kuisha kwa Korona. Naomba shule zifunguliwe. Tunapata taabu sana kuwazuia watoto kuzurura. Wanauliza kwa nini tunawazuia kutembea na hali ugonjwa umekwisha? Chonde chode baba fungua shule.
Mie kilio changu usafiri umekuwa shida sana na hii level seat.
 
Kwa sukari aliyokuwa nayo Ndugai akipigwa na Korona haichukui round tunaimba Parapanda.
Corona inaenda inakuwa weak,,sio ile corona ya mwanzo ndo ilikuwa gusa unate,,
Tuombe tu pasiwe na second wave kama iluvyotokea,Brazil,,
 
Kuanzia jumatatu spika wa viti maalum amesikia atafuata maagizo hamtamuona kavaa tena.
 
Itakua mzee alijisahau tu, ila inafikirisha kuvaa barakoa hata ukiwa peke yako.
Spika hakiwa peke yake. Bunge likiahirishwa lazima anasindikizwa Hadi ofisini anavua joho. Hawezi kutembea peke yake aende kwenye kiti chake akae. Unaona kulikuwa na moiga picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nilikuwa namshangaa sana kwakweli.
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mm namshangaa kukaa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…