Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

Anaponda barakoa wakati huo huo anasema tuendelee kuchukua tahadhari[emoji848]
 
Mimi nasema aipinge hata zaidi ya hapo. Tokea Corona ianze, sijafanya upuuzi wa kuvaa barakoa.

Lakini waoga waoga wote, endeleeni kuvaa barakoa mkijikinga na kaugonjwa ka mafua.
 
Uzuri kwa sasa hatutaenda nchi za watu
 
Mimi nasema aipinge hata zaidi ya hapo. Tokea Corona ianze, sijafanya upuuzi wa kuvaa barakoa.

Lakini waoga waoga wote, endeleeni kuvaa barakoa mkijikinga na kaugonjwa ka mafua.
sasa anaposema tuchukue tahadhari ni zipi?
 
Barakoa haina msaada wowote, zaidi ya kuwafanya watu washindwe kuvuta hii hewa ya Mungu ipatikanayo bure.

JESUS IS LORD
 
Anataka kuaminisha watalii eti kwa kutopima na kutangaza takwimu za corona na watu kutovaa mask, basi Tanzania iko swari. It is a flawed way of thinking...
 
Jamaa ana allegy na neno Corona !!. Duh hii ngumu
 
Mimi nasema aipinge hata zaidi ya hapo. Tokea Corona ianze, sijafanya upuuzi wa kuvaa barakoa.

Lakini waoga waoga wote, endeleeni kuvaa barakoa mkijikinga na kaugonjwa ka mafua.
Mie navaa barakoa toka day one na sijaambukizwa Corona ya kwenye barakoa.
 
Magufuli hajui hata jina la barokoa. Ama ndo yale yale ya Sadam na Gadaf
 
Ndugu kimsingi hii katiba imepitwa na wakat na imechoka, haitajiki tena ktk zama za sasa hv
Kwa bandiko lako Unataka kutuambia Katiba yoooote ya Tanzania ni NADHARIA TU??Huo Ni wendawazimu na pengine ndiyo maana Awamu ya Jiwe kuna UKIUKAJI NA UVUNJAJI ULIO KITHIRI WA KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA....!!So sad!
 
Ndugu Rais kwa katiba ya nchi hii anaweza kufanya lolote na bla kuulizwa na yoyote
 
Mkuu Ndugai lazima avae Barakoa maana kama una magonjwa nyemelezi halafu ukapata FUTA lazima likutemeshe NDOANO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…