Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

This mama has never been productive as deputy Secretary General of the UN!
 
May be if we tell people the brain is an 'app' they'll start using it (by consciousdiscovery). All the best
 
Ndo nini hicho ulichoandikaa? kama yote hayo amepitia bila kuleta faida kwa nchi azidi kuteuliwa tu? hukumbuki hata alivyopwaya vizara ya sheria na katiba?

Kweli waTz mnayo matatizo sana kichwani mwenu.

Silence is golden. This is beyond your comprehension bro!
 
Dr Asha-Rose Migiro anajidhalilisha kwa kukubali nafasi hii. Alishakuwa Waziri wa Mambo ya Nje, hivyo Mabalozi wote walikuwa chini yake. Zaidi ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN. Sasa kwenda kuwa Balozi inachafua CV. Au mnaonaje suala hili?
 
Dr Asha-Rose Migiro anajidhalilisha kwa kukubali nafasi hii. Alishakuwa Waziri wa Mambo ya Nje, hivyo Mabalozi wote walikuwa chini yake. Zaidi ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN. Sasa kwenda kuwa Balozi inachafua CV. Au mnaonaje suala hili?

Ni kawaida kwa maisha ya binadamu.
Hakuna ajabu kumkuta babu au bibi anagombania makopo
na wajukuu zake.
Kwenye maisha ya binadamu
kuna kupanda mpaka juu,afu unashuka
kwa hatua hizo hizo mpaka chini.una-rest in peace.
 
"It is only in africa where a person can walk 100 steps ahead and go back 150 steps and praises him/herself that he/she is improving"
Nimeipenda hii! Nilishndkwa kuiquote lakini huyu mama angetulia tu nyumbani kwake au arudi UDSM afundishe lakini kuwa barozi kajichujisha.
 
Kila cku wale wale tu,hakuna wengine wa kushika hizo nafasi?hao wastaafu sasa.dah
 

Wakuu wa jukwaa kwa nyakati hizi Dkt. Asha Rose Migiro anahudumu akiwa wapi na nafasi gani au kashastafu siasa na uongozi, anapumzika wapi?

Ni hayo tu nauliza, Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…