Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)


Vipi hakuwa na sifa wakati kaongoza miaka 5. Hata ukiwekwa wewe lazima ule; usipokula wewe watakula wenzio.

Hiyo ishu ya Ummy kutafunwa na jamaa ipo. Bwanakunu ni Handsome boy Na hata pale MSD kawatafuna baadhi ya wakurugenzi.

hizo delivery pack upo uzi wake humu. Ni dili la Ummy akishirikiana na huyo Bahari yule jamaa wa kihaya. Mbaya zaidi vituo vya Afya vilikuwa vinalazimishwa kununua hizo Kit , ikawa hawaviombi; Ummy akawalazimisha MSD kuwa kwenye kila oda ya kituo cha Afya lazima ziwekwe na delivery pack Na pesa ikatwe kwenye ac zao. Wateja wakihoji vipi unananipa na hii wakati sijaomba? MSD inawajibu ni maagizo ya Wizara na barua hii Hapa ya waziri. Yaani wamepija snaa

Kumbuka pia Bwanakunu Boss wake ni Ummy pia; so lazima Na yeye atumike kwenye huo uzi.

Ummy hamna kitu na hata hii ishu ya Corona kafeli sana tu kama waziri wa Afya; anajificha kwenye pazia kwamba yeye sio Technical hivyo washauri wake wanamuangusha; but Noo Ummy hamna na amefeli 100%. Bwanakunu kaonewa tu

Yaani Ummy akichomoka kwenye hii ishu nitaamini the power of Vagi*****n inafanya kazi.


Mk54
 
Inasemekana hata uyo alokwepo hakua mfamasia

Ni Mwanasheria ila amejitahidi snaa. MSD imeongozwa na wafamasia sana lakini walikuwa wezi sana.

Bwanakunu ni Mwanasheria lakini ni kati ya Mkurugenzi pekee aliye transform MSD ambayo ilikuwa bado kidogo ivunjwe.

Jamaa kaitoa sana MSD sema taasisi lile ni ngumu snaa kama GPSA tu. Sehemu yoyote ya manunuzi ni ngumu snaa ukichanganya na hawa wana siasa.

Wafamasia walioongoza pale wengi walikuwa wezi tu kama unakumbuka miaka ile hadi ishu za ARVs fake , ******* wote na wafamasia wengi ni maskini njaaaa hadi kwenye chupi, ukiwapa taasisi kama lile wanaishia kuiba. Ushawahi kuona Mfamasia mwenye akili hapo TZ ? Wengi kazi yao kutundika vyeti maluza tu; Famasi kubwa zote ni za wafanyabiashara wakubwa hapo town kama Hao kina Bahari!

Bwanakunu sio maskini ni mtu anauwezo Before MSD , Na kafanya kazi na wazungu sana kwenye NGOs. He will still be the best DG kuwahi kutokea MSD, I am sure hatawafanyakazi wa hapo watasema the same.

Nimefanya kazi kwa karibu na hao watu before I left the Country!

Kama kweli jamaa katumbuliwa kwa ishu za upigaji; basi atakuwa kaangushwa na watendaji wake. Lakini jamaa Mzungu sana yule. Hata kutulipa Ma Supplier alikuwa hana longolongo.


Mk54
 

Yaani kama kamtumbua jamaa kwa hii ishu( basi inasikitishaa.

Maana kazi ya MSD ni kununua kuuuza Na kusambaza. Mambo ya kufanya Quality Issue ni TMDA Na TBS.

Mzigo wa misaada ulipokelewa kwa mujibu wa wizara ya Afya; ulipofika Airport nakumbuka ile picha hadi ilipostiwa na mwananchi.

Alikuwa Mfamasia Mkuu na wakurugenzi wa wizara na Asubuhi yake Ummy mwalimu akawepo.

Wakapokea mzigo ukapelekwa MSD kwa ajili ya kusambazwa kwa maelekezo ya WizAra.

Sasa kama haukupelekwa maabara of which sio kazi ya MSD, nadhani hapo mtu wa kuwajibishwa ni Waziri Na hao wakuu wa TMDA NA TBS. Mkurugenzi wa MSD anahusika vipi ?

Au kafara tu ?


Mk54
 
Kama hujui tulia ujuzwe. Hakuna asiyeyajua mahusiano yao
 
Hii nafasi inahitaji mtu anayejua sana idara ya usambazaji na ununuzi supply chain management na sio lazima ajue au awe mtu aliyesomea medical.
Kwani ulisikia MSD ni logistics company?
Kuna internal dynamics zinafanya hiyo kazi
Faida ya kuwa kwenye fani ya utabibu ni kwamba inakua rahisi kwa CeO kujua dawa gani ni muhimu kwa wakati husika
 
Kwani ulisikia MSD ni logistics company?
Kuna internal dynamics zinafanya hiyo kazi
Faida ya kuwa kwenye fani ya utabibu ni kwamba inakua rahisi kwa CeO kujua dawa gani ni muhimu kwa wakati husika

Kwani hakuna wasaidizi wake wanaojua hilo?


Mk54
 
Sawa
Tunashukuru kwa wazo lako jema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wako wakuchanganua Mambo ni mdogo sana
Haogopi Jeshi, bali anawateua kwa kuwa ni wazalendo wa kweli waliobaki hawana tamaa ya kuiba kama hawa raia wengine...

Ukweli utabaki pale pale Rais Magufuli anafanya kazi kubwa, ukweli mchungu siku akiondoka mtamkumbuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahabara ndiyo nini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli utabaki pale pale Rais Magufuli anafanya kazi kubwa, ukweli mchungu siku akiondoka mtamkumbuka...
Huwezi kumkumbuka dikiteita! Atakumbukwa kwa mabaya ya kuua watu! kuteka, kuwapoteza, kuwabambikia kesi,..... persectutions, kuua uhuru wa kuongea, tribalism, etc etc! Kuwa mkweli hayo yanafanyika?
 
Kukaa miaka 5 siyo kwa sababu ya performance ni kwa sababu Ummy mwalimu alimbeba kama mbeleko. Hana performance yeyote aliyofanya. Ukitaka kujua nenda kaangalie maghala hayana dawa. Na hata barabarani je unayaona magari ya MSD yakienda ku deliver dawa wilayani?
 
Niyo maana hatujasema alikuwa na mahusiano na DG wa NIMR wala TMDA. Tuna uhakika wa tunachoandika, Kama hujui, basi JF itakujuza, ni kisima cha elimu na taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…