Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Kwani ulisikia MSD ni logistics company?
Kuna internal dynamics zinafanya hiyo kazi
Faida ya kuwa kwenye fani ya utabibu ni kwamba inakua rahisi kwa CeO kujua dawa gani ni muhimu kwa wakati husika

Ndiyo kampuni ya ununuzi na usambazaji wa dawa na vifaa vya hospitali. Sehemu kubwa ni logistic. Ukisema unampeleka mtu na atategemea wasaidizi kwasababu ya kutokujia ni ngumu kutoa maoni hata kubadilisha sehemu. Itamchukuwa zaidi ya mwaka mzima kujifunza logistics. Ununuzi wa dawa ni mrahisi maana kampuni na dawa zinajulikana idadi na matumizi vinajulikana.
 
Lakini kujua unachokisambaza (hii ni pamoja na kujua urgency na umuhimu wake) ni added advantage.


Kwa maoni yangu nadhani hii nafasi inatakiwa mtu anayejua au mbobezi katika fani ya madawa (pharmacist) na masuala ya ugavi chain supply management.
 
Hivi hapo cheo kimepanda au kimeshuka? Kutoka kuwa mkuu wa Hospitali tena ya JWTZ na kuwa mkuu wa bohari ya panado.
 
Jiwe ndio hofu kubwa na kuleta hofu kubwa maana hatujui nini kinaendelea. Taarifa ni silaha, sasa ukificha taarifa unataka nini?
 
Ahahaaaaaaaaaaaaa...... Tunampango wa kuagiza madagascar lager
 
Wasiwasi wangu ni kama huyu Medical Doctor ataweza Medical Logistics!
 
Mdogo wangu HAKIMU, Vita ya koona haihitaji SILAHA na ma nyota ya JWTZ, JIWE anafeli sana aisee
 
Wasiwasi wangu ni kama huyu Medical Doctor ataweza Medical Logistics!

Jeshi na Logistics ni sawa na uji kwa mgonjwa. Logistics ndio ilianzia huko jeshini kabla haijawa watered and commercialized. Hivyo ni perfect choice ku cover hiyo nafasi.
 

60% ya wafanyakazi MSD wanamiliki pharmacy!
 
Jeshi na Logistics ni sawa na uji kwa mgonjwa. Logistics ndio ilianzia huko jeshini kabla haijawa watered and commercialized. Hivyo ni perfect choice ku cover hiyo nafasi.
Mkuu jeshi kuna special brigade ya logistics na si kila mwanajeshi ni bingwa wa logistics.
 
Naelewa, sijasema ni bingwa wa Logistics. Ila kwa rank yake amepitia course nyingi jumlisha ni Dkt tayari ana qualify kuwa hapo
What do you mean qualify?
An MD wa Internal Medicine , Anaesheist au Surgeon atakuwaje mtu wa laogistics?
 
What is Logistics?
Logistics is generally the detailed organization and implementation of a complex operation. In a general business sense, logistics is the management of the flow of things between the point of origin and the point of consumption to meet the requirements of customers or corporations. The resources managed in logistics may include tangible goods such as materials, equipment, and supplies, as well as food and other consumable items. The logistics of physical items usually involves the integration of information flow, materials handling, production, packaging, inventory, transportation, warehousing, and often security.
Ref Wiki

In this case logistics za Madawa, from ordering from points of origins, shipment . storage , repackaging and transportation to points of consumption.

NIKUONGEZE KIDOGO:
Logistics management is the part of supply chain management and supply chain engineering that plans, implements, and controls the efficient, effective forward, and reverse flow and storage of goods, services, and related information between the point of origin and point of consumption to meet customer's requirements. The complexity of logistics can be modeled, analyzed, visualized, and optimized by dedicated simulation software. The minimization of the use of resources is a common motivation in all logistics fields. A professional working in the field of logistics management is called a logistician.

Karibu mzee
 

Kwenye mtihani ndio ungejibu hivi?

Logistics ni movement of material from source/origin to point of consumption. Sasa complexity ya ku excute hii operations iko wapi hadi ihitaji gwiji? Na pia trend of consumption ni lazima iwe monitored na medical personnel maana ndio anajua dawa gani demand yake iko juu na kwa wakati gani...na hii inarahisishwa na mifumo ya kieletroniki.
 
Hatuko kwenye mtihani, hapa ni real world scenario.
My argument is for efficiency Logistics for logisticians, Medical Doctors for combating diseases and other medical conditions.
FULL STOP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…