Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Kama bwanakunu amabayao ni sociologist aliweza,, na hakuwa na uzoefu katika suala hili unadhani mjeda huyu atashindwa na uzoefu alionao juu ya medicine na supply chain?


 
Unakompea MSD na kihospitali? labda uwe unatania ndg yangu otherwise una uelewa mdogo sana wa mambo
Wewe ndio sifuri kabisa. Mimi nimeuliza swali wewe unapaswa kujibu. Mbona unauelewa finyu sana wa mambo? Wewe jibu kama cheo kimepanda au kimeshuka, basi. Hayo mengine unayobwabwaja ya nini?
 

Kumbe MSD kuna shida nyingi mpaka kwenye uajiri! Hili ni tatizo Sasa


Mk54
 
Hii nafasi inahitaji mtu anayejua sana idara ya usambazaji na ununuzi supply chain management na sio lazima ajue au awe mtu aliyesomea medical.
Very true, shida kubwa ya MSD ni supply chain. Dawa zikitufikia huku mbwinde ndo mafanikio ya taasisi hii
 
NI kweli, sio shida pia kwa upande mwingine wakitumika huku uraiani. Na hii ndio maana ya jeshi kuwa na experts
 
Kabla ya kumtimua mkurugenzi ni vizuri sasa serikali ikalipa madeni yote ya MSD serikali inayodaiwa, serikali mnapoacha kulipa madeni MSD sisi wananchi ndio tunaoumia mjue
Maumivu yapo lakini ukichunguza sana tatizo la kibajeti limekuwa sugu sio kwa MSD tu, hata DAWASA, MUHIMBILI, NHIF, PSSSF na kadhalika. We need a supplementary budget ku-avoid debt trap kwa hizi taasisi zetu nchini
 
Uzuri vyombo vya uchunguzi vipo na kumbukumbu zipo. TAKUKURU wasisubiri kutumwa na RAIS, WAJIONGEZE WENYEWE na kashfa ya kuanzia nimewapa. Delivery kits kwa Bahari Pharmacy.
Asante TAKUKURU kwa kujiongeza kuhusu huyu Bwanakunu.
 
Maumivu yapo lakini ukichunguza sana tatizo la kibajeti limekuwa sugu sio kwa MSD tu, hata DAWASA, MUHIMBILI, NHIF, PSSSF na kadhalika. We need a supplementary budget ku-avoid debt trap kwa hizi taasisi zetu nchini
Taasisi ulizozitaja pamoja na kupewa ruzuku zinakiendesha kibiashara.
 
Waziri ni mistress wa mzee baba
Hawezi kumtoa pale
 
Sasa wewe mwenye akili unajua sababu za Mkurugenzi huyo kutumbuliwa, mbona unaongea mambo ya kitoto?? Ambayo hayapo???
Ni vizuri ukaomba msamaha kwa fikra zako potofu
 
Kwani ni uzushi? Wanawake wenye tamaa ya hela na umaarufu wanadhalilishwa sana na vijana wadogo. Mbona mwenyewe Bwanakunu alikuwa anatamba kuwa huwezi kumfanya lolote kwa vile ana ukaribu na Waziri
Kwani appointing authority yake ni waziri, mbona mnapenda kuunganisha vitu cha kitoto, au waziri ni appointing authority ya takukuru
 
Jeshi na Logistics ni sawa na uji kwa mgonjwa. Logistics ndio ilianzia huko jeshini kabla haijawa watered and commercialized. Hivyo ni perfect choice ku cover hiyo nafasi.
Sio kila mwanajeshi ni Logistician
 
Wewe ndio sifuri kabisa. Mimi nimeuliza swali wewe unapaswa kujibu. Mbona unauelewa finyu sana wa mambo? Wewe jibu kama cheo kimepanda au kimeshuka, basi. Hayo mengine unayobwabwaja ya nini?
Kwanza kwa kutumia neno panadol as your reference point , umeisha onyesha anakwenda mahali pa low level , nia yako ya kutaka kujua kama kapanda au kashuka linakuwa distorted, ndio maana umejibiwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…