Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Usalama wa Taifa?, mtu anatoka kokote kule! Kumbe hata huko Teuzi ni za kisaisa not weledi ..

Ajab la 8, Dunian lipatakikana TZ

Nani kakwambia hakuwa usalama kabla ya uteuzi?

Acha kuropoka
 
Inaeleka unamfaham sana GM.. Tupe basi 'manyuzi'
 
Hakuwahi kuwa balozi lakini amefanya kazi ubalozini nafikiri US,Tafuta kuna mada hapa JF wakati RO ameteuliwa na JK 2006
Rashid Othman hakuwahi kuwa balozi kokote kule lakini Alifanya kazi ubalozini
I stand to be corrected
 
Kwa hiyo hakufukuzwa kazi BOT???
Kuna watu huwa wanafukuzwa makusudi ili kutuliza upepo baada
e kukitulia anarudishwa. Wakati wa scandal ya matokeo ya mitihani ya waislamu Mkurugenzi aliyehusika ilionekana kafukuzwa kutuliza ile pressure nae akaenda kusoma PhD baadae akarudishwa palepale NECTA
 
Ina maana Magufuli did not go with recommendation from Rashid Othman??


If so why?

Halafu what about nafasi ya Apson in post JK era????
Which recommendations
 
by watching this clip, I think we have got a serious man in office!
 
Syestem imefanya kazi. Muda wote huo hatukujua kuwa jamaa ni sisimizi
 
Too late.mtayari keshateuliwa na sasa ameshaapishwa. Subirini mtakavyoshughulikiwa. Kuweni na tahadhari na si kuropoka tu. syetem at work
 
Rashid Othman hakuwahi kuwa balozi kokote kule lakini Alifanya kazi ubalozini
I stand to be corrected
You are right, kuna mtu aliuliza why balozi anachaguliwa kuwa Naibu Mkurugenzi wa TISS nikamweleza wafanyakazi wengi ubalozini ni maafisa usalama nikampa hiyo mifano
 
Nenda BRELA ndio uje hapa jamvini na vitu vya kueleweka.

Narudia tena acha kutoka povu. IKIUMA ..................
BRELA nako wamejaa mafisadi tu, hakuna utofauti wala maana ya kwenda huko.
 
Aliye kuwepo kabla nani?! jee kahamishiwa wapi?!
 
Wewe unatia aibu. Hayo mambo ya VAT na Corporate Taxes tumeyajadili kwenye Uzi mwingine
You are so wrong. Usithubutu kutoa knowledge ya taxation.
I swear to devil, you are wrong!
 
by watching this clip, I think we have got a serious man in office!
Yeah Man,
Gathering massive amounts of data, making sense out of the data, produce reports, managing risk not ''problems''
NIDA Vitambulisho vya Taifa Vitakuwa na Saini mbili
Source: Focus Media Pro Ltd Tanzania
 
Wewe unatia aibu. Hayo mambo ya VAT na Corporate Taxes tumeyajadili kwenye Uzi mwingine
You are so wrong. Usithubutu kutoa knowledge ya taxation.
I swear to devil, you are wrong!
Wring ndio nini mkuu!?!?
Msaada kwenye tuta.
 
by watching this clip, I think we have got a serious man in office!

Serious man, au kufikirika tu.

Huyu si alikuwa Mkurugenzi wa Risk Management BOT? Kwani mihela ya EPA ilipopigwa pale BOT yeye alikuwa ana manage Risk gani sasa, na alitoa mapendekezo gani?

Au ndio kusema kati ya wote, bora huyu
 

Subiri atakae teuliwa na serikali ya chadema mwaka 3000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…