abdallahtase
Member
- Aug 20, 2013
- 37
- 17
BRELA nako wamejaa mafisadi tu, hakuna utofauti wala maana ya kwenda huko.
Lakini kama mimi sijui kitu kuna mtu atakuwa anajua. Alimradi wanaofanya haya maamuzi ni binadamu. Usipojua taarifa fulani, usidhani wote hawatajua. Tumo wengi humu, hatufanani.
Jiulize maswali haya kwanza na utafute majibu yake:Serious man, au kufikirika tu.
Huyu si alikuwa Mkurugenzi wa Risk Management BOT? Kwani mihela ya EPA ilipopigwa pale BOT yeye alikuwa ana manage Risk gani sasa, na alitoa mapendekezo gani?
Au ndio kusema kati ya wote, bora huyu
Kawaida incumbent akiondoka huacha recommendations to the C-in-C nani achukue kiti.Which recommendations
Pitia nyuzi zaidi ya 20 humu ambazo zinamzungumzia na in particular aliyokuwa anapigwa vita ana akina mwanakijijiMkuu, inaelekea unamjua sana Othman
We don't need serious strong menby watching this clip, I think we have got a serious man in office!
As a matter of fact 100% ya staff wa balozi za nje ni TISS hii ni standard kwa nchi zingineYou are right, kuna mtu aliuliza why balozi anachaguliwa kuwa Naibu Mkurugenzi wa TISS nikamweleza wafanyakazi wengi ubalozini ni maafisa usalama nikampa hiyo mifano
RO alikuwa UKRashid Othman hakuwahi kuwa balozi kokote kule lakini Alifanya kazi ubalozini
I stand to be corrected
Kama.balozi au?RO alikuwa UK
Halafu kama kweli elimu yake ndio hii ambayo inasemekana inaukakasi mashaka yanaongezeka, ukizingatia pia mkwe wake alishawahi kuwa bosi hapo. Nepotism.
Waambie hao. Mkapa alikuwa paparazi, na mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Marehemu Filikunjombe alikuwa polisi. Kazi ya zamani hai-determine utakuwa nani huko mbeleni. NUKTA.Lugumi alikuwa "Shoe shiner" mpaka leo mnamwita hivyo, Simbachawene alikuwa Kondakta wa Mabasi, na yeye bado kwenye jimbo lake la Kibakwe wanamwita Kondakta? Kazi ya zamani ya Mzee Salim Bakhressa unaijua?
Kaka kama umesoma kweli comment yangu usingesema sina taarifa kamili.
Pitia thread yangu ya kustaafu RO. Hiyo taarifa unayo ni quote nimekopi na kuweka link chini. Soma nukta pia.
Kama.balozi au?
I can assure you, this man will quench your thirsty of 'strong institutions'.We don't need serious strong men
We've had them for almost 60 years
What we need is strong institutions
Strong institutions kwa katiba ya 1977 tuliyonayo?I can assure you, this man will quench your thirsty of 'strong institutions'.
Just watch how this serious man when he was handling the NIDA 'compromised' workers!
Kwani nae amestaafu?Director of External Intelligence ni nani?