abdallahtase
Member
- Aug 20, 2013
- 37
- 17
Tuache propaganda ambazo hazina tija kwa mustakbali wa ulinzi na usalama wa nchi yetu. wapo wengi ambao wanaonekana wangeweza kuvaa viatu vya Mkurugenzi aliyepita, ila miongoni mwa hao wengi wazalendo na waadilifu Mh. Rais ameona Dr. Kipilimba anafaa zaidi kwa nafasi hiyo kwa sasa. Na kufaa kwake ni kutokana na utumishi uliotukuka katika kila nafasi aliyokuwa anafanya kazi. kimsingi nampa Hongera sana, na Mungu amuongoze aweze kufanya kwa ufanisi zaidi kwa maendeleo ya Taifa.