Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Tuache propaganda ambazo hazina tija kwa mustakbali wa ulinzi na usalama wa nchi yetu. wapo wengi ambao wanaonekana wangeweza kuvaa viatu vya Mkurugenzi aliyepita, ila miongoni mwa hao wengi wazalendo na waadilifu Mh. Rais ameona Dr. Kipilimba anafaa zaidi kwa nafasi hiyo kwa sasa. Na kufaa kwake ni kutokana na utumishi uliotukuka katika kila nafasi aliyokuwa anafanya kazi. kimsingi nampa Hongera sana, na Mungu amuongoze aweze kufanya kwa ufanisi zaidi kwa maendeleo ya Taifa.
 
Yangu ni macho na masikio TU, mwaka unakatika huyu anaingia huyu anatoka..huyu ana simama huyu anakaa wa kadha wa kadha.

Sioni dalili ya Viwanda........wla maisha ya kati zaidi kauli buku jero na teuzi buku jero....
 
BRELA nako wamejaa mafisadi tu, hakuna utofauti wala maana ya kwenda huko.

Hii ni Tanzania yetu sasa anza kujifunza kuthamini vyombo vilivyowekwa kuratibu maeneo mbalimbali ya serikali yetu. Kama mafisadi wapo basi sio wote maana hakuna aliyemkubwa zaidi ya shirika. Waulize wenye makampuni watakupa mrejesho na utofauti wa BRELA
 
Lakini kama mimi sijui kitu kuna mtu atakuwa anajua. Alimradi wanaofanya haya maamuzi ni binadamu. Usipojua taarifa fulani, usidhani wote hawatajua. Tumo wengi humu, hatufanani.

sawa...usipojua taarifa Fulani ni kweli wako ambao wanaijua taarifa hiyo...na ni tuko wengi humu JF na hatufanani...lakini kuna wegine hawajui kitu na wanajifanya wanajua...anaanza ku-comment mambo ya TISS eti anasema toka lini Fulani alikuwa TISS anasema anamfahamu Fulani alikuwa mahali Fulani akatoka mahali Fulani na kwenda mahali Fulani...blah blah blah...sasa kauli za namna hii zinathibitisha kuwa mtu anayesema hivyo anajifanya kuwa anajua issues Fulani wakati hajui chochote kuhusu issues hizo...niishie hapo.
 
Serious man, au kufikirika tu.

Huyu si alikuwa Mkurugenzi wa Risk Management BOT? Kwani mihela ya EPA ilipopigwa pale BOT yeye alikuwa ana manage Risk gani sasa, na alitoa mapendekezo gani?

Au ndio kusema kati ya wote, bora huyu
Jiulize maswali haya kwanza na utafute majibu yake:
-EPA ni nini?
-Kuna uhusiano gani wa EPA na Idara ya Risk Management-BOT (RMB)?
-EPA ya BoT ilianzishwa lini na kwa malengo gani?
-Nitaratibu zipi ufuatwa kuanzishwa, kuendesha, na hama kufunga/kuvunja EPA? Na anahususika katika hatua tatu nilizozitaja?
-Je. Mkurugenzi wa RMB ana nguvu gani kisheria na kitaratibu za BoT katika kudhibiti uendeshaji wa EPA?
-Je. aliyekuwa Mkurugenzi wa RMB wakati wa EPA saga alikuwa nani, ni juhudi gani binafsi alifanya kushughulikia hilo?

Ukipata majibu hayo yenye ushahidi usiyotia shaka kudhibitisha uhalali wake. Njoo nayo hapa jukwaani tujadili, kwa nini nimeandika " Serious man in office!"
 
You are right, kuna mtu aliuliza why balozi anachaguliwa kuwa Naibu Mkurugenzi wa TISS nikamweleza wafanyakazi wengi ubalozini ni maafisa usalama nikampa hiyo mifano
As a matter of fact 100% ya staff wa balozi za nje ni TISS hii ni standard kwa nchi zingine


Local staff not so....japo inabidi na wenyewe wapite kwenye vetting kwa sababu wanapita access ya vitu vingi sana
 
Lugumi alikuwa "Shoe shiner" mpaka leo mnamwita hivyo, Simbachawene alikuwa Kondakta wa Mabasi, na yeye bado kwenye jimbo lake la Kibakwe wanamwita Kondakta? Kazi ya zamani ya Mzee Salim Bakhressa unaijua?
Waambie hao. Mkapa alikuwa paparazi, na mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Marehemu Filikunjombe alikuwa polisi. Kazi ya zamani hai-determine utakuwa nani huko mbeleni. NUKTA.
 
Kaka kama umesoma kweli comment yangu usingesema sina taarifa kamili.

Pitia thread yangu ya kustaafu RO. Hiyo taarifa unayo ni quote nimekopi na kuweka link chini. Soma nukta pia.

Nimekusoma vizuri, ila kuna sababu ya Dr Kipilimba kuzungukazunguka kila idara.

Halafu, unafikiri mheshimiwa raisi amekosea uteuzi au vipi?
 
I can assure you, this man will quench your thirsty of 'strong institutions'.

Just watch how this serious man when he was handling the NIDA 'compromised' workers!


Strong institutions kwa katiba ya 1977 tuliyonayo?

Keep on dreaming
 
Malipo yakutokuwa msaliti kwa taifa ni hapa hapa duniani najisikia furaha dr kipilimba amepata nafasi nyeti ktk taifa baada yakuwa muaminifu kwa watu wake. Big up dr
 
Director of External Intelligence ni nani?
 
Back
Top Bottom