Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Lugumi alikuwa "Shoe shiner" mpaka leo mnamwita hivyo, Simbachawene alikuwa Kondakta wa Mabasi, na yeye bado kwenye jimbo lake la Kibakwe wanamwita Kondakta? Kazi ya zamani ya Mzee Salim Bakhressa unaijua?
Kwani Lugumi ni mwajiriwa wa serikali?
 
Hongera sana kwa mteuliwa
Alikuwa BOT akaondoka kwenda kusoma(kazi maalum) akarudi BOT- mkurugenzi kitengo cha maafa, akaenda tume ya uchaguzi kuwa mkurugenzi kitengo cha tehama, baadae kakaimu ukurugenzi NIDA. Leo mkurugenzi mkuu wa kitengo. Hongera kwa kazi zilizotukuka. Mliofanya nae kazi mnaweza kutushuhudia.
 
Lugumi alikuwa "Shoe shiner" mpaka leo mnamwita hivyo, Simbachawene alikuwa Kondakta wa Mabasi, na yeye bado kwenye jimbo lake la Kibakwe wanamwita Kondakta? Kazi ya zamani ya Mzee Salim Bakhressa unaijua?

Usichangaye PROFESSIONALISM NA MAFANIKIO KTK MAISHA..!! Vitu viwili tofauti... hata jambazi anaweza kuwa na mafanikio ktk maisha kuliko msomi..!! alafu unamtolea mfano Lugumi..!? Kwako ww Lugumi ndio mfano..? basi una matatizo makubwa..!! Eeeh..!!

Simbachawene ni mwanasheria kamili.. ndio profession yake..!! na kaajiriwa..!!

Hao wengine DJ Mbowe, sijui Bahressa, Lugumi, wana profession ipi..? Sasa ktk serikali hii watu wa aina hiyo KAZI HAWATAPATA.. HAKUNA UJANJA UJANJA TENA..!!

Acha kuchanganya mafanikio ktk maisha na utaalamu...!!

Ukijibu hili kitaalamu, ask again, i have bank of intellectual answers..!!
 
Ok ok! huyu jamaa ni miongoni mwa walioteuliwa pale NEC at the Eleventh hour, last year..Possibly to manipulate (fix) things right!
Hongera mteuliwa,
Kama sikosei yule ni Ramadhani Kailima alieteuliwa kuwa mkurugenzi wa uchaguzi
 
Usalama wa Taifa?, mtu anatoka kokote kule! Kumbe hata huko Teuzi ni za kisaisa not weledi ..

Ajab la 8, Dunian lipatakikana TZ
 
Back
Top Bottom