Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa.

- Anaapaishwa leo mchana.

Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.

View attachment 386820

GOOD ALIYETEULIWA NI KACHERO ALIYEBOBEA KTK TANZANIA, NI MTAALAMU WA MIFUMO YA KOMPYUTA, ALIKUWA SHUSHU WA BOT UPANDE WA TEKNOHAMA, WAKATI WA UCHAGUZI WA 2015 AKAHAMISHIWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA KAZI MAALUMU, BAADA YA KUMALIZA KAZI MAALUMU YA USHUSHU NDANI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI AKAPELEKWA TUME YA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA KAZI MAALUMU, BAADA YA KUMALIZA KAZI MAALUMU NIDA, KATUNUKIWA UKURUGENZI TISS

HONGERA SANA DK KIPILIMBA, WAPINZANI WALILALAMIKA SANA ULIPOHAMISHIWA GHAFLA TUME YA UCHAGUZI NEC TOKA BOT, MAANA ILIKUWA GHAFLA SANA WAKATI HUO NDO MIFUMU MIPYA YA UANDIKISHAJI YA BIOMETRIC ILIKUWA INAANZA KUTUMIKA, SIJUI KWA UTEUZI HUU WATASEMAJE JE, NI MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA 2020?
 
Hivi Balozi Dau alipangiwa kuwa balozi wetu nchi gani? Au bado anasubiri kupangiwa?
 
GOOD ALIYETEULIWA NI KACHERO ALIYEBOBEA KTK TANZANIA, NI MTAALAMU WA MIFUMO YA KOMPYUTA, ALIKUWA SHUSHU WA BOT UPANDE WA TEKNOHAMA, WAKATI WA UCHAGUZI WA 2015 AKAHAMISHIWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA KAZI MAALUMU, BAADA YA KUMALIZA KAZI MAALUMU YA USHUSHU NDANI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI AKAPELEKWA TUME YA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA KAZI MAALUMU, BAADA YA KUMALIZA KAZI MAALUMU NIDA, KATUNUKIWA UKURUGENZI TISS

HONGERA SANA DK KIPILIMBA, WAPINZANI WALILALAMIKA SANA ULIPOHAMISHIWA GHAFLA TUME YA UCHAGUZI NEC TOKA BOT, MAANA ILIKUWA GHAFLA SANA WAKATI HUO NDO MIFUMU MIPYA YA UANDIKISHAJI YA BIOMETRIC ILIKUWA INAANZA KUTUMIKA, SIJUI KWA UTEUZI HUU WATASEMAJE JE, NI MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA 2020?
Hahahahahaaaaaa! Wapinzani walie tu.
 
Nenda kaulize kwenye kumbi za Muziki na redio kama Ma DJ wanapata kazi au hawapati kazi. Hata hivyo kazi za ushushu siyo za kuteuana kwa misingi ya usomi bali weledi, na ulimbukeni huo wa kujali hadhi za usomi dhidi ya ufanisi upo zaidi huku Afrika . Waziri wa Fedha ana shahada ya Uzamivu kwenye mambo ya uchumi lakini alishindwa kutofautisha kati ya "Corporate tax" na "VAT" lakini wapo darasa la saba walimwambia kodi kwenye miamala ya kifedha itatozwa kwa mteja, na yeye kwa usomi wake akabisha ingawa sasa hivi ndicho kinachotokea.
Mkuu, ukishakuwa CCM elimu, ujuzi na weledi hauna nafasi.
 
Naona ndio unaamka, kama una mashaka na ueledi wake tuwekee hapa tuone.
Hana ajualo huyo. Siku zote UKAWA wanapatwa na Ukiwa Rais anapofanya uteuzi. Lazima waje na jambajamba
 
Usalama wa Taifa?, mtu anatoka kokote kule! Kumbe hata huko Teuzi ni za kisaisa not weledi ..

Ajab la 8, Dunian lipatakikana TZ
Kamteua au katangaza uteuzi wake? Nadhani wao mashushu wanafahamiana wenyewe ki weledi na uzoefu katika shughuli zao na uongozi.

GM aliekuwa anakaimu ndio alikuwa best shoot hapo... Ila kaachwa. Ingekuwa ni 'MTU' tu anaenda kuteua boss pale basi GM angeteuliwa.
 
Hahahahahaaaaaa! Wapinzani walie tu.

HAHAHHA LIZABONI MAGUFULI AWAHURUMIE MANA KAMA DK KIPILIMBA KAWA BOSS TISS, UCHAGUZI WA 2020 UMEKUWA RAHISI SANA UPANDE WA KIJANI
 
Yeye hajawahi kuajiriwa popote bali ameajiri watu kadhaa kwenye Kampuni yake. Unadhani mafanikio duniani yanakuja kwa vyeti na kuajiriwa? Ndiyo maana unaitwa utumishi wa umma. Kati ya Matajiri 100 bora duniani hakuna hata mmoja ambaye amepata utajri wake kwa kuajiriwa!

Kuandika "Professionalism" kumekushinda ndiyo utaweza mantiki za weledi?
Kwa wanao mjua aliwahi kuajiriwa bot mapokezi nafikiri ilikuwa kwa kazi maalumu!!!
 
Back
Top Bottom