Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Wanavyosambazwa mwishoni wataisha kabisa

Duuuh basi kazi tunayo.
Lakini naskia zile kazi zinahitaji vijana wenye uwezo mkubwa na nchi inabidi itoe fungu kubwa ili kuwapika.
Sasa kwa hali ilivyo sasa TZ wataweza kweli??
 
Mhhh Tanzania kwa sasa HAKUNA CHOCHOTE afanyacho Mh.Rais bila kuwa CRITICISED. ..Hivi tunakwenda wapi kama nchi????
Yote anakosea tangu aapishwe!!!!!! Mhhhh kweli!!!????
Kuna tatizo mahali!!
 
Huyu mzee Kipilimba ni muadilifu nadhani na mtu mmoja mkimya sana na wa ibada,anastahili kabisa kwa nafasi nyeti kama hiyo.Go Dr.

Na alipoteuliwa dakika ya 90+3 kwenda pale NEC ilikuwa ni kwa malengo gani? Uadilifu + Ibada anayejua ni Mungu na si mwanadamu.
 

Mkuu, inaelekea huna taarifa kamili.

Kwanza huelewi kwamba BOT pengine ni lazima iwe na watu kutoka idara mbalimbali za serikalini khasa serikali kuu.

Pili, unaonyesha bado huna habari ya kutosha kuhusu Dr Kipilimba na sababu za kuzungukazunguka kati ya BOT, NEC, NIDA na sasa TISS.

Kuna jamaa mmoja wa IT pale NEC anaitwa Madaha nae ni mtalaam ila kuna baadhi ya matatizo ya ujazo wa Data, yalijitokeza katika mfumo mzima wa uwasilishwaji wa matokeo "bottlenecks" labda ndio Dr Kipilimba akaombwa aende pale.

Dr Kipilimba hata humu JF ni active member na anawasoma wale "people of interest" kwa ukaribu, na sidhani kama atachukulia hii "seriously".

Hata hivyo kama hufahamu kuna kitu kinaitwa "baadhi yao" hiki ni muhimu sana kukielewa, sanasana tutaishia kuambiwa hadithi za hapa na pale tu.
 
Watu wengi wanaofanya kazi ubalozini ni Usalama wa Taifa (Hassy Kitine,Augustine Mahiga,Benard Membe na Othman ) hao wote ni Usalama wa Taifa na walikuwa mabalozi
Othman hakuwahi kuwa balozi
 

Kwa hiyo.....
 
Mtu anayepaswa kushika ukuu wa idara nyeti moyo wa nchi kama TISS hawezi kuwa kipilimba ambaye amehusishwa na kuiba kura na kuiibia umma na jeshi la polisi fedha za Lugumi haiwezekani yeye mwenyewe ajiuzuru kwa sababu ataleta madhara makubwa nchi hii kama kiongozi huyo hana intergrity na watu wengi wanajuwa maovu yake watakosa imani na chombo chao
 
Ina maana Magufuli did not go with recommendation from Rashid Othman??


If so why?

Halafu what about nafasi ya Apson in post JK era????
 
Kwa hiyo hakufukuzwa kazi BOT???
 
Usalama wa Taifa?, mtu anatoka kokote kule! Kumbe hata huko Teuzi ni za kisaisa not weledi ..

Ajab la 8, Dunian lipatakikana TZ
kwani waajiriwa wote wa TISS unawajua? uteuzi huo unamaanisha alikuwa huko ikimyakimya! mjini hapa!
 
Hivi ukikutana mwehu barabarani akakuita wewe jambazi basi inakuwa ni kweli kuwa wewe ni Jambazi???
Hiyo si kweli lakini huyu tuhuma zake za kweli alicheza na matokeo na ni mshirika wa kampuni ya lugumi mtu huyu iweje atuongozee idara nyeti kama hiyo huyu ni written off just at the beginning
 
Hivi kuliepusha taifa kutoangukia ktk mikono ya mafisadi nao ni wizi wa kura[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Unalolinena hata hulijui....
Ndio unathibitisha uwizi wake yaani ndio maana nchi imeaangukia kwenye mikono ya mafisadi wa barabara meli za wachina, MV Dar, Nyumba kumbe naye ni sehemu yao ukichanganya na Lugumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…