Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tatizo unadhani lilikuwa ni kwa waliomwajiri au tatizo ni kwa aliyeajiriwa?Kuna DJ moja alishawahi kuajiriwa BOT enzi hizo, mpaka sasa najiuliza hiyo ajira bot aliipataje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unadhani lilikuwa ni kwa waliomwajiri au tatizo ni kwa aliyeajiriwa?Kuna DJ moja alishawahi kuajiriwa BOT enzi hizo, mpaka sasa najiuliza hiyo ajira bot aliipataje.
Sababu baba yake aliwai fanya kazi paleKuna DJ moja alishawahi kuajiriwa BOT enzi hizo, mpaka sasa najiuliza hiyo ajira bot aliipataje.
Hata mimi nilianza kujiuliza hili swali, iweje mtumishi wa NIDA leo awe mkurugenzi usalama wa taifa? Kumbe magufuli anatumbua majipu kwa mujibu wa maelekezo ya madaktari. Haya mnaosema anakurupuka kaeni chojo.Kwa hiyo huko NIDA aliwashushushu wenzie?
Tunaongea utapeli unaofanywa na taasisi ya Ikulu kutuletea kiongozi wa Taasisi nyeti kama TISS mwenye tuhuma za wizi wa kura na wizi wa fedha za umma kupitia kampuni ya lugumi halafu wewe unacheza makilikili usidhani sisi ni akina KabweLowasa wenu wa CHADEMA vipi anafaaa? Maana tuhuma zake ziliwekwa wazi na vyombo vya habari
Halafu kama kweli elimu yake ndio hii ambayo inasemekana inaukakasi mashaka yanaongezeka, ukizingatia pia mkwe wake alishawahi kuwa bosi hapo. Nepotism.Tatizo unadhani lilikuwa ni kwa waliomwajiri au tatizo ni kwa aliyeajiriwa?
kwa nini asitumbuliwe yeye kwanza kabla ya kutumbuwa wengine yeye si ndio Lugumi kupigwa panchi kwa lugumi kumbe ni ishu ya mteule Magufuli kajipaka masizi ni fisadi as wellHata mimi nilianza kujiuliza hili swali, iweje mtumishi wa NIDA leo awe mkurugenzi usalama wa taifa? Kumbe magufuli anatumbua majipu kwa mujibu wa maelekezo ya madaktari. Haya mnaosema anakurupuka kaeni chojo.
Kama hiyo ni sababu basi nazidi kupata mashaka sana juu ya uwezo wake.Sababu baba yake aliwai fanya kazi pale
Hakika. Hongerah Sana Dkt. Kipilimba Tunakutakia Kazi Njema Kwani Ni Kazi Sensitive Sana!Modestus Kapilimba (phd) ongera sana kwa kuteuliwa kuongoza taasisi yetu ya Ujasusi. Uwezo wako ktk medani wajulikana tunakutakia kazi njema ktk kipindi hiki. Mungu ibariki Tanzania
Hapo umeniacha gizani kama safari ya kuhamia dodoma. Ebu dadavua kidogo una maana gani?kwa nini asitumbuliwe yeye kwanza kabla ya kutumbuwa wengine yeye si ndio Lugumi kupigwa panchi kwa lugumi kumbe ni ishu ya mteule Magufuli kajipaka masizi ni fisadi as well
Kuwepo kwake yawezekana ndio wewe kujua kuna mauzauza, 🙂🙂Huko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!
Naona TISS itabidi waajiri vijana weengi sana mwaka huu, seems kama wanaishia kuteuliwa tu ss
Ana stadi za kazi hiyo au ndiyo muendelezo wa kujaribu na kurekebisha?
Mwajiriwa wa Tiss ...Kwani Lugumi ni mwajiriwa wa serikali?
Ndio maana unaona nchi jinsi ilivyoharibika,inayumba,imekosa dira Ma Dr.ni maphilosopher sio watawala na kuletwa kwenye maeneo nyeti bila uzoefu nayo kazi sana,kwani huyo mkurugenzi kambadili nani
Wanavyosambazwa mwishoni wataisha kabisaKwanini iajili vijana wengi mkuu??
Hivi kuliepusha taifa kutoangukia ktk mikono ya mafisadi nao ni wizi wa kura[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tunaongea utapeli unaofanywa na taasisi ya Ikulu kutuletea kiongozi wa Taasisi nyeti kama TISS mwenye tuhuma za wizi wa kura na wizi wa fedha za umma kupitia kampuni ya lugumi halafu wewe unacheza makilikili usidhani sisi ni akina Kabwe