Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Kwa hiyo huko NIDA aliwashushushu wenzie?
Hata mimi nilianza kujiuliza hili swali, iweje mtumishi wa NIDA leo awe mkurugenzi usalama wa taifa? Kumbe magufuli anatumbua majipu kwa mujibu wa maelekezo ya madaktari. Haya mnaosema anakurupuka kaeni chojo.
 
Lowasa wenu wa CHADEMA vipi anafaaa? Maana tuhuma zake ziliwekwa wazi na vyombo vya habari
Tunaongea utapeli unaofanywa na taasisi ya Ikulu kutuletea kiongozi wa Taasisi nyeti kama TISS mwenye tuhuma za wizi wa kura na wizi wa fedha za umma kupitia kampuni ya lugumi halafu wewe unacheza makilikili usidhani sisi ni akina Kabwe
 
Tatizo unadhani lilikuwa ni kwa waliomwajiri au tatizo ni kwa aliyeajiriwa?
Halafu kama kweli elimu yake ndio hii ambayo inasemekana inaukakasi mashaka yanaongezeka, ukizingatia pia mkwe wake alishawahi kuwa bosi hapo. Nepotism.
 
Hata mimi nilianza kujiuliza hili swali, iweje mtumishi wa NIDA leo awe mkurugenzi usalama wa taifa? Kumbe magufuli anatumbua majipu kwa mujibu wa maelekezo ya madaktari. Haya mnaosema anakurupuka kaeni chojo.
kwa nini asitumbuliwe yeye kwanza kabla ya kutumbuwa wengine yeye si ndio Lugumi kupigwa panchi kwa lugumi kumbe ni ishu ya mteule Magufuli kajipaka masizi ni fisadi as well
 
Modestus Kapilimba (phd) ongera sana kwa kuteuliwa kuongoza taasisi yetu ya Ujasusi. Uwezo wako ktk medani wajulikana tunakutakia kazi njema ktk kipindi hiki. Mungu ibariki Tanzania
Hakika. Hongerah Sana Dkt. Kipilimba Tunakutakia Kazi Njema Kwani Ni Kazi Sensitive Sana!
 
kwa nini asitumbuliwe yeye kwanza kabla ya kutumbuwa wengine yeye si ndio Lugumi kupigwa panchi kwa lugumi kumbe ni ishu ya mteule Magufuli kajipaka masizi ni fisadi as well
Hapo umeniacha gizani kama safari ya kuhamia dodoma. Ebu dadavua kidogo una maana gani?
 
Kwani wewe kwa akili zako unajua TISS wanafanya kazi wapi?

TISS wapo kila sehemu, kanzia madereva wa daladala, wahudumu wa bar, mpaka wakurugenzi wa mashirika binafsi.
 
Naona TISS itabidi waajiri vijana weengi sana mwaka huu, seems kama wanaishia kuteuliwa tu ss
 
Ndio maana unaona nchi jinsi ilivyoharibika,inayumba,imekosa dira Ma Dr.ni maphilosopher sio watawala na kuletwa kwenye maeneo nyeti bila uzoefu nayo kazi sana,kwani huyo mkurugenzi kambadili nani

Yaani aliekuepo humjui, anaebadili humjui wala majukumu yake huyajui...huenda hata hiyo nafasi aliyoteuliwa huijui......wewe ni kukokosoa tu na kulaumu....

Ila wangeteuliwa wavaa miwani wale wa Chadema ndio ungeridhika.
 
Duh kumbe usalama wa taifa wako kila kwenye idara za serikali.
 
Tunaongea utapeli unaofanywa na taasisi ya Ikulu kutuletea kiongozi wa Taasisi nyeti kama TISS mwenye tuhuma za wizi wa kura na wizi wa fedha za umma kupitia kampuni ya lugumi halafu wewe unacheza makilikili usidhani sisi ni akina Kabwe
Hivi kuliepusha taifa kutoangukia ktk mikono ya mafisadi nao ni wizi wa kura[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Unalolinena hata hulijui....
 
Back
Top Bottom