Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Karata ya kwanza imerushwa!
Rais John P. Magufuli amefanya uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na amemteua Ndugu George Mcheche Masaju kushika nafasi hiyo.
Aidha, Rais Magufuli ameitisha Bunge tarehe 17 Novemba 2015 na tarehe 19 Nov 2015 atapendekeza jina la Waziri Mkuu
========
Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu mpya wa serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju (pichani) kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
3 Januari, 2015