Alikuwa na cheo ikoiko baada ya mzee wa tumbili kuangushwa yeye ndie aliekuwa Attoney General.
Naona magufuli kaanza vibaya, huyu masaju alionesha udhaifu mkubwa bungeni katika sheria za makosa ya mitandao na gesi na mafuta, alipelekeshwa na akina Tundu Lissu na wote tunakumbuka aliwai admit mbele ya lissu baada ya ku hustle sana kuwa mimi si mtaalam sana wa ku draft sheria ila kwa kuhisi tu najua hapa umepatia au la! Ha ha
Magufuli kaanza na huyohuyo mteuliwa wa awali wa kikwete kwa nafasi iyoiyo. I can start sensing a dark future, same CCM we used to see.
Tusubiri!
Ni yule yule aliye kuwepo kateuliwa tena.....
Alikua ndo huyo huyo, ushaambiwa ccm ni ile ile wewe au ushasaau
Oh, kumbe atabaki na safu ya Kikwete, akina Nyalandu msiwe na wasiwasi.
Pinda akiendelea ndo patanogaUmesahau CCM ni ile ile utashanga utakaposikia pm anaendelea yuleyule.
Hahahaa,Alikuwa na cheo ikoiko baada ya mzee wa tumbili kuangushwa yeye ndie aliekuwa Attoney General.
Naona magufuli kaanza vibaya, huyu masaju alionesha udhaifu mkubwa bungeni katika sheria za makosa ya mitandao na gesi na mafuta, alipelekeshwa na akina Tundu Lissu na wote tunakumbuka aliwai admit mbele ya lissu baada ya ku hustle sana kuwa mimi si mtaalam sana wa ku draft sheria ila kwa kuhisi tu najua hapa umepatia au la! Ha ha
Magufuli kaanza na huyohuyo mteuliwa wa awali wa kikwete kwa nafasi iyoiyo. I can start sensing a dark future, same CCM we used to see.
Tusubiri!
JPM take your time my friend, take your time! Mbio za sakafuni....!
Nimeshaanza kuijutia kura yangu!
hana jipya, keshaanza recycling ... next atamteua Tibaijuka wizara ya ardhi, chenge waziri wa sheria, mwigulu fedha, n.k.
pinda akiendelea ndo patanoga
Nimeshaanza kuijutia kura yangu!