Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Teh Teh..wewe uwezi kuwa umempigia kura Magufuli
Hadi naingia kwenye room ya kupiga kura nilikuwa sijaamuwa nani nimpe kura kwa asilimia zote. I was undecided to the last minute. Nilimpigia Magufuli pamoja na kwamba sikuwa na imani kuwa atashinda. Kiukweli, i had to pick whatever that was there. Ubunge na udiwani niliwapa upinzani, urais Pombe. Lakini matokeo yamekuwa tofauti. Nilitegemea Pombe angebanwa na bunge la UKAWA, basi nchi ingesonga mbele. Niliwaonea sana huruma vijana waliokata tamaa na maisha, ambao wengi walimpigia kura Lowassa.

Kwa hatua hii ya Makomeo however, naanza kuijutia kura yangu. Naijutia zaidi kura yangu kama ni kweli wizi ulifanyika! Napenda haki na wala si ushabiki! Pamoja na kwamba nilimpigia kura Pombe, haina maana kwamba ntashabikia uwizi wa kura ili ashinde.
 
tushaanza kuisoma namba............
 
Maskini sasa nini tena anafanya kama sielewi hivi et niniiiiiiiiiiiiii
 
CCM, ni ile ile, ooh n ile ile x2, oh mtaisoma namba
 
Haaaaa hamjamsikia kwenye hotuba hana cha kuwalipa marais wastaafu Mungu tu ndo anajua
 
images


Yap, still a pig!
​
 
huyo ndiye m4c ya ccm! Yaani kaona huyo ndiye anafaa kuendelea! Laiti angekuwa anahojiwa bungeni juu ya uteuzi huu au huyo aliyeteuliwa angekuwa anapitishwa kwenye tanuru la moto kama ilivyo kenya, tungeona mtu akikataa uteuzi kama wale wa obama walivyokataa.
Sheria za gesi,makosa ya mitandao nk viliandikwa wakati wa huyu jamaa,halafu Magufuli anamrudisha eti tutegemee mabadiliko? Na huyu akibadilika akazikana sheria zile, itabidi ajiuzuru
 
jmushi1,

..nilitegemea AG kuendelea ktk nafasi hiyo.

..hana muda mrefu tangu ateuliwe na Raisi Kikwete kushika nafasi hiyo.

..kwa kumbukumbu zangu, Chenge aliteuliwa AG mara ya kwanza na Mzee Mwinyi, halafu akateuliwa tena na Mkapa.

..uzoefu ambao ameupata ktk bunge lililopita utamsaidia ktk bunge hili la awamu ya tano.

..nafasi ambayo ni muhimu zaidi, ni Waziri Mkuu. Nafasi hiyo ndiyo itatupa mwangaza uongozi wa Raisi Magufuli utakuwa wa aina gani.

cc Nyani Ngabu, ZeMarcopolo

..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom