Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Tulishasema watanzania basi tena miaka 5 itakuwa vile vile na tusahau mabadiliko. Ishara ya kwanza tumeiona.
 
Mbona CCM mnaanza kulialia mapema hivi, tusaidiane kuisoma namba.
 
Wewe akili yako ni finyu sana. Hata signature yako inaonyesha ujinga wako so sina muda, eti "when you go far go together", halafu bado id uliyoichagua ni "saa mbovu", akili yako itaacha kuwa mbovu? We pimbi unaweza kunipangia cha kuongea hapa jukwaani? Pumbaav kabisa, usikute ndo mmojawapo wa waliou hack huu mtandao! mbuzi wewe!

Hahahaaa akili na saa wapi ndugu yangu, au hujui kutofautisha. Mpiga kura gani unaweweseka mpaka dakika za mwisho ndo unafanya maamuzi. Wewe ulikuwa hujielewi eti nimefikiria sana, yaan hapo tu ndo nimekuona popoma.
 
Toka lini ulimuacha wa nyumbani?wewe kura yako inafahamika uliiweka wapi.

Tuna imani kubwa na Magufuli.
Nani wa nyumbani mbuzi mee? Nilimpigia Makomeo lakini sina imani kubwa kama yako. However kwasababu nilimpigia kura yangu, nina haki ya kuprotest anachofanya.Ni bora nisingempigia na mimi ningekuwa kwenye kundi la wenye kususa kila anachofanya na kuukataa ushindi wake.

Kama ningekuwa na uthibitisho kuhusu wizi wa kura, bado nisingefurahia ushindi wake pamoja na kwamba nilimpigia kura.
 
Mimi nasubiri awafukuze kazi watendaji wa Tanesco waliokuwa wanamuhujumu kwa kufungulia maji usiku.
 
huyo ndiye m4c ya ccm! Yaani kona huyo ndiye anafaa kuendelea! Laiti angekuwa anahojiwa bungeni juu ya uteuzi huu au huyo aliyeteuliwa angekuwa anapitishwa kwenye tanuru la moto kama ilivyo kenya, tungeona mtu akikataa uteuzi kama wale wa obama walivyokataa.
Sheria za gesi,makosa ya mitandao nk vilinadikwa wakati nwa huyu jamaa,halafu Magufuli anamrudisha eti tutegemee mabadiliko? Na huyu akibadilika akazikana sheria zile, itabidi ajiuzuru
Aliahidi kuendeleza za waliomtangulia...Kikwete, Mkapa et al! CCM mbele kwa mbele!
 
Nafikiria kuhusu ile memo JK aliyomwandikia Magufuri pale uwanjani.

Una macho makali. ...nilidhani nimeona peke yangu. ..kuna maneno aliyasema kuhusu kuteuliwa kwake sijui nayo uliyasikia
 
Hahahaaa akili na saa wapi ndugu yangu, au hujui kutofautisha. Mpiga kura gani unaweweseka mpaka dakika za mwisho ndo unafanya maamuzi. Wewe ulikuwa hujielewi eti nimefikiria sana, yaan hapo tu ndo nimekuona popoma.
Kwa akili yako unadhani kati ya waliokuwepo ndo wagombea wanaokubalika na kila mtu? Nilipewa makaratasi matatu na sikutaka kuharibu kura. Wewe umeshawahi kushiriki uchaguzi gani zaidi ya huo?Na akili yako si zilezile tu ndo maana uliridhika na wagombea waliokuwepo? Nilishangazwa sana na linchi lenye kuwa na wagombea ambao hata debate hawakufanya! DEBATE HATA MOJA! Halafu kuna akili tope tu kama wewe unaweza kuwashangaa wale ambao walikuwa undecided to the last minute!

Akili mbovu ni kama saa mbovu tu, kuna wakati iko right. Kama imefia six o'clock pm, then ikifika huo muda iko right! una akili ya kuweza kupost tu hapa zaidi ya hapo nothing! Akili ya kuvukia barabara tu.
 
Naona Magufuli kabadili gia angani!! Masaju ndo anategemea kuishauri serikali kuhusu ufisadi??

Anyway sisi Magufuli tulimjua mapema!!
 
Yangu wala haikuwa protest vote. So pamoja na uwezo mzuri wa mama kujieleza, bado uahalisia wa kushinda ulikuwa finyu zaidi.

I get that.

My wish ilikuwa Pombe apate lakini bunge liwe UKAWA. Unfortunately haikuwa hivyo.

Hiyo isingewezekana kabisa na haitowezekana pasipo na katiba mpya na tume mpya ya uchaguzi.

Kwa muda mrefu niliokuwa US, na kushuhudia na pia kushiriki kampeni za urais. Nilipata shida na EL kwakuwa sikupata kumsikia vyema akisema atalifanyia nini taifa letu,

Hivi Magufuli alisema atalifanyia nini taifa? Au alikuvutia na zile ahadi za mahakama ya mafisadi na milioni 50 kwa kila kijiji?

hata mahojiano aliyofanya ni yale ya bbc hayakuni impress given nafasi anayogombea. Kujieleza ni muhimu sana kwa nafasi ya urais. I believe people who wants to be president of Tanzania should be able to answer tough questions.

Hahahaaa well, hivi Magufuli alifanya hata mahojiano na Clouds? Maana kuna wakati BBC walilalamika kuwa amekula kona.

Did he ever answer any tough questions from any media entity?

At least Lowassa alikuwa na ujasiri wa kufanya mahojiano na BBC.

Kwa vigezo vyako hivi hata Magufuli hakuvifikia.

Ushawahi hata kumwona au kumsikia akifanya mahojiano na kituo cha habari cha nje?

Magufuli, kama Lowassa, naye aliukacha ule 'mdahalo'.

In all honesty, hata yeye Magufuli never answered any tough questions from anybody.
 
Nimeshaanza kuijutia kura yangu!

Wajinga ndio waliwao! Hivi mlikuwa hamwelewi ule wimbo wa ccm ni ileile? Huu siyo uteuzi bali ni uidhijishaji, hivyo kichwa cha habari kingesomeka "Mh. Magufuli amwidhinisha Masaju mteule wa Rais Kikwete kuwa mwanasheria mkuu wa serikali"
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni nguzo ya kisheria ya mhimili wa executive branch ya serikali. Kazi yake ya msingi si kupambana na "vichwa "fulani bungeni.. Tuache ujinga.
 
jmushi1,

..nilitegemea AG kuendelea ktk nafasi hiyo.

..hana muda mrefu tangu ateuliwe na Raisi Kikwete kushika nafasi hiyo.

..kwa kumbukumbu zangu, Chenge aliteuliwa AG mara ya kwanza na Mzee Mwinyi, halafu akateuliwa tena na Mkapa.

..uzoefu ambao ameupata ktk bunge lililopita utamsaidia ktk bunge hili la awamu ya tano.

..nafasi ambayo ni muhimu zaidi, ni Waziri Mkuu. Nafasi hiyo ndiyo itatupa mwangaza uongozi wa Raisi Magufuli utakuwa wa aina gani.

cc Nyani Ngabu, ZeMarcopolo

..
Ina maana sababu alizozitumia JK kumteua Joji Masaju ndo hizo hizo alizozitumia Makomeo kwenye uteuzi wake? Hao si watu wale wale waliofanikisha kupitisha mikataba tunayoilalamikia?
 
Back
Top Bottom