Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Kiuhalisia nafasi za senior civil servants za kubadilisha ni kwa wale ambao wameshindwa kazi tu, lakini kama lengo ni ufanisi you expect most people to remain in their posts (you cant just bring new people without experiences kama lengo ni kuboresha kiwango).

But then kuna makatibu wa kuu wa wizara na viongozi wa taasisi za serikari wengi sana wakuwekwa benchi au kabla ya kuteuliwa tena kwanza waje na audited quality report za sehemu zao na jinsi watavyo nufaisha jamii, kuziba mianya ya wizi, kuboresha utendaji etc. Vinginevyo tutegemee yale yale simply because hizi ndio sehemu kubwa sana zinazoathiri wananchi kutokana na huduma mbovu wanazotoa au kwa kutoa value za chini mwisho wa sera tofauti na malengo yake.
 
We are back to square one...I remember we have been there so many times before. Trouble is, we never learn. Just imagine 50 years and here we are, expecting different results from the same people! What did Einstein call it? Insanity.

how about Lowassa!? was he different person!?
wake up wildebeest
 
Msitegemee rais anayeingia madarakani kwa muhula wa kwanza kutoka chama kilichokuwa kinashika dola kabla yake eti afanye total overhaul uteuzi wa kwanza kabisa wa watendaji wake, haiwezekani!
Lazima atamix, huyo wa sasa ni wapi alipokosea?

Kwa hiyo unashauri katiba ifute Muhula wa kwanza na badala yake tuwe tunachagua rais kwa ajili ya muhula wa pili tu ili kuepusha makosa ambayo ni lazima yafanyike ndani ya muhula wa kwanza!?
 
Amechemka Huyu jamaa si alikua anatolewa jasho na tundu Lisu bungeni kipind CHA sheria zA mitandao?
 
Hadi naingia kwenye room ya kupiga kura nilikuwa sijaamuwa nani nimpe kura kwa asilimia zote. I was undecided to the last minute. Nilimpigia Magufuli pamoja na kwamba sikuwa na imani kuwa atashinda. Kiukweli, i had to pick whatever that was there. Ubunge na udiwani niliwapa upinzani, urais Pombe. Lakini matokeo yamekuwa tofauti. Nilitegemea Pombe angebanwa na bunge la UKAWA, basi nchi ingesonga mbele. Niliwaonea sana huruma vijana waliokata tamaa na maisha, ambao wengi walimpigia kura Lowassa.
Basi hujui maana ya undecided voters, maana yake sio kusubiri ufike kwenye chumbani cha kupigia kura ndiyo uamue, maana yake ni kusikiliza sera za wagombea na kuchagua mwenye sera nzuri bila kuangalia chama anachotoka.

Sasa humo kwenye kibanda cha kupigia kura ulikuwa unaangalia nini au picha yenye rangi nzuri.
 
Kwa akili yako unadhani kati ya waliokuwepo ndo wagombea wanaokubalika na kila mtu? Nilipewa makaratasi matatu na sikutaka kuharibu kura. Wewe umeshawahi kushiriki uchaguzi gani zaidi ya huo?Na akili yako si zilezile tu ndo maana uliridhika na wagombea waliokuwepo? Nilishangazwa sana na linchi lenye kuwa na wagombea ambao hata debate hawakufanya! DEBATE HATA MOJA! Halafu kuna akili tope tu kama wewe unaweza kuwashangaa wale ambao walikuwa undecided to the last minute!

Akili mbovu ni kama saa mbovu tu, kuna wakati iko right. Kama imefia six o'clock pm, then ikifika huo muda iko right! una akili ya kuweza kupost tu hapa zaidi ya hapo nothing! Akili ya kuvukia barabara tu.

Hahaaa ila mkuu povu limekutoka duh, hatufahamiani kabisa, ila kama ni suala la kushiriki chaguzi nimeshiriki toka 1995. Na nina akili nyingi sana.
Wewe unapewa makaratasi halafu unaanza kuumiza kichwa huoni kwamba unamatatizo, ndio maana kulikuwa na kampeni zilizofanyika kwa takribani miezi miwili. Ulikuwa ni muda mzuri wa kwenda kusikiliza na kuchuja. Unafikiri debate ndio ingekupa jibu.. au ndio una akili za kutizamia sasa ulivyojiona unapiga kura peke yako pa kutizamia hakuna ukaanza kuumiza kichwa hahaaaaa.
Anyway maisha yaendelee.
Uzuri ni wote tutaisoma namba. Bahati mbaya kwako umeanza kuisoma namba mapema kabisa kwa kusema "najutia kura yangu" na bado.
 
Namshukuru mzee mwinyi kwa ushauri..mkapa.. ila namshukuru sana rais mstaafu jakaya Kikwete mwenyekiti wa cc aliponiteua mimi kuwa mgombea......


Sahihisha nilipokosea mkuu

Kumbe na wewe ulisikia....Wenye kusoma btn lines kuna kitu wataona humo
 
Kuna watu hawajawahi kuwa hata viranja wa darasa ila wanajifanya wanajua uongozi, huwezi ingia ofisini leo kwa cheo cha juu kisha ukatimua wote uliowakuta. Acha wakongwe kwa muda ukiwa unasoma mazingira.
 
Ha ha ha ndo yule anaongea huku anatafuna jojo?

Humu tuliwahigi kupropose yule mswahilina propf nani vile jk akaona akimwelka mtasema udini,ngoja tuone

Ha ha ha umesahau ni ile ile?
 
Wajinga ndio waliwao! Hivi mlikuwa hamwelewi ule wimbo wa ccm ni ileile? Huu siyo uteuzi bali ni uidhijishaji, hivyo kichwa cha habari kingesomeka "Mh. Magufuli amwidhinisha Masaju mteule wa Rais Kikwete kuwa mwanasheria mkuu wa serikali"

Bora umemwambia.
 
Namuonea huruma
1. Lissu
2. J. Ole Milya
3. J. Mnyika
4. General Katani
Sijui kama atapona huyu baba.
 
Basi hujui maana ya undecided voters, maana yake sio kusubiri ufike kwenye chumbani cha kupigia kura ndiyo uamue, maana yake ni kusikiliza sera za wagombea na kuchagua mwenye sera nzuri bila kuangalia chama anachotoka.

Sasa humo kwenye kibanda cha kupigia kura ulikuwa unaangalia nini au picha yenye rangi nzuri.
I had to use my tokens, the whole thing was like a gambling game. Sikuwa na mgombea kati ya waliokuwepo. Na jitihada za kuwasikiliza vyema hazikuzaa matunda maana hata debate moja haikuwepo. The only thing that i saw as an option, ni kwa UKAWA kuwa majority bungeni wamtume vyema Makomeo. Haikuwa hivyo.

Nilikuwepo nchini, i had to vote. I had to use the tokens. Sikuwa na namna. So hadi naenda kwenye booth, sikuwa na mgombea urais ninayemsapoti wholeheartedly. Nilipewa karatasi tatu na sikutaka kuharibu hata moja.
 
Back
Top Bottom