Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Eti huyu aliyeshindwa kesi nyingi serikali ilizowafungulia watu,LEO HII NDIYO ATAWEZA KUISIMAMIA MAHAKAMA YA MAFISADI NA KUWAFUNGA MAFISADI PAPA?WAKIWEMO MARAIS WASTAAFU KWA KUTUMIA MADARAKA YAO VIBAYA KAMA SHERIA ZITAWAKUTA NA HATIA?
RAIS WANGU UMESHASHINDWA KABLA HATA YA KUANZA KAZI.
 
Kiuhalisia nafasi za senior civil servants za kubadilisha ni kwa wale ambao wameshindwa kazi tu, lakini kama lengo ni ufanisi you expect most people to remain in their posts (you cant just bring new people without experiences kama lengo ni kuboresha kiwango).

But then kuna makatibu wa kuu wa wizara na viongozi wa taasisi za serikari wengi sana wakuwekwa benchi au kabla ya kuteuliwa tena kwanza waje na audited quality report za sehemu zao na jinsi watavyo nufaisha jamii, kuziba mianya ya wizi, kuboresha utendaji etc. Vinginevyo tutegemee yale yale simply because hizi ndio sehemu kubwa sana zinazoathiri wananchi kutokana na huduma mbovu wanazotoa au kwa kutoa value za chini mwisho wa sera tofauti na malengo yake.
hicho kigezo cha Experience magufuli alisema kwenye uongozi wake hayo mambo hayatakuwepo sasa how comes anaanza kwenda tofauti na kile alicho ki ahidi tena on first day in office muda kama huu wenzake huanza kwa mbwembwe na danganya toto kibao
 
Hahaaa ila mkuu povu limekutoka duh, hatufahamiani kabisa, ila kama ni suala la kushiriki chaguzi nimeshiriki toka 1995. Na nina akili nyingi sana.
Wewe unapewa makaratasi halafu unaanza kuumiza kichwa huoni kwamba unamatatizo, ndio maana kulikuwa na kampeni zilizofanyika kwa takribani miezi miwili. Ulikuwa ni muda mzuri wa kwenda kusikiliza na kuchuja. Unafikiri debate ndio ingekupa jibu.. au ndio una akili za kutizamia sasa ulivyojiona unapiga kura peke yako pa kutizamia hakuna ukaanza kuumiza kichwa hahaaaaa.
Anyway maisha yaendelee.
Uzuri ni wote tutaisoma namba. Bahati mbaya kwako umeanza kuisoma namba mapema kabisa kwa kusema "najutia kura yangu" na bado.
Nilisikiliza lakini hakuna cha maana kwenye hiyo miezi miwili.

Pamoja na kwamba nilipenda ahadi ya kudeal na viwanda ya Magufuli, bado niliona tatizo la umeme ni kikwazo kikubwa. Hakuna nchi iliyowahi kupata maendeleo ya viwanda bila umeme. Hiyo ni FACT! Debate labda zingesaidia kuuliza hayo maswali ama hata wangekubali interviews.

Mwingine alisema ni elimu bure, atleast alijitahidi kusema kuwa atapunguza matumizi ya serikali pamoja na kutumia rasilimali vyema ili kuweza kufikia malengo hayo ya elimu ya bure. But still hakuna maswali ambayo wangetueleza ni kivipi haswa watafanikisha hayo wanayoyasema.

Uchaguzi huu nahisi kama nilikuwa kwenye mchezo wa kamari huku nikiwa sipendi kamari hata kidogo.
 
Mi nimefurahi na nadhani na ukawa wafurahi sababu huyu mwanasheria ndio reflection ya serikali katika mambo ya kiaheria so ukawa wanapaswa kutumia nafasi hii kama ni mbumbumbu wa m-press kweli kweli to their concerns kuanzia mwaka huu mpaka 2020 watapata some political advantages huku kitaa.
 
hicho kigezo cha Experience magufuli alisema kwenye uongozi wake hayo mambo hayatakuwepo sasa how comes anaanza kwenda tofauti na kile alicho ki ahidi tena on first day in office muda kama huu wenzake huanza kwa mbwembwe na danganya toto kibao
Taasisi za serikari au yoyote kubwa for that matter zina complications on how they execute their operations kwa hivyo swala la experience is of most importance ndio maana watu wanafanya internal development. Unatoa nje au mwingine pale unapokuwa na different mission na change of direction ata hivyo unatafuta mwingine ambaye keshawahi kufanya kile unachokusudia kwakuwa serikari ni moja wenye experience hizo za kazi ni wachache sana.

Isitoshe kuleta kigogo mpya inachukua muda kidogo kuelewa vitu vinavyofanyika ndani ya taasisi kabla ya kubadilisha kama aridhiki; huyu jamaa amekuwa anaishauri serikari iliyopita tayari anazielewa changamoto zilizopo na serikari imeridhika why change?

Unabadilisha pale unapoona vigogo wanapwaya au hawana mikakati yenye tija vinginevyo achilia huyu mwanasheira makatibu wizara nchi zingine wanaweza kaa kwenye wizara zaidi ya miaka ishirini kusudio ni kwamba wanavyo zidi kukaa wanaelewa namna sahihi za kufikisha sera kwa ufanisi na kusimamia.

Sisemi na kwetu iwe hivyo hila ni wakati muafaka wakujua changamoto za kila taasisi na watu waseme watazifanyia nini kwa kuziboresha kiutendaji na kikazi kabla ya kupewa nafasi tena na wapimwe kwa mafanikio hayo lengo la muda mrefu kuwe na kigezo cha kufukuza au kuteua.

Ni bora ya mtu anaeanza na ukweli kuliko danganya toto; ni ishara tosha huyu mtu anataka maboresho
 
Nakubaliana mkuu. Ilikuwa challenge kubwa sana kwasababu nadhani uchaguzi wote haukufikia viwango vya chaguzi za kidemokrasia. Kiufupi nilishindwa kupata mgombea ambaye ningeweza kumpa full support! Ndiyo maana nilistruggle to the last minute. Na the fact kwamba hakukuwepo na debate ndo kabisaa!

Pia hilo la tume huru lilikuwepo at the back of my mind. Nakumbuka ulikuwa ukilizungumzia kabla ya uchaguzi. Uchaguzi huu najiskia ni kama vile sipendi ku gamble, lakini nikapewa offer ya Casino na some free tokens to use in the gambling game.

I had to use the token...Thats it!
Tunajua umeishi Marekani sawa lakini hivi huwezi kuandika kiswahili bila kuchanganya lugha?
 
Ukikalia kiti. Kisicho hAki hautapata amani
Ameanza kzweweseka kuteua conscience tells
 
Masaju kinachombeba ni uaminifu....wala hatutajuta ngoja aanze kazi. Mzigo mzito ilikuwa ni kujutia kura tulizompa Kikwete kwa miaka 10 nashukuru tumeutua ili kazi zifanyike
 
I had to use my tokens, the whole thing was like a gambling game. Sikuwa na mgombea kati ya waliokuwepo. Na jitihada za kuwasikiliza vyema hazikuzaa matunda maana hata debate moja haikuwepo. The only thing that i saw as an option, ni kwa UKAWA kuwa majority bungeni wamtume vyema Makomeo. Haikuwa hivyo.

Nilikuwepo nchini, i had to vote. I had to use the tokens. Sikuwa na namna. So hadi naenda kwenye booth, sikuwa na mgombea urais ninayemsapoti wholeheartedly. Nilipewa karatasi tatu na sikutaka kuharibu hata moja.
mkuu,mbona unazidi kujidhalilisha
 
Back
Top Bottom