Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

tatizo usimamizi kwa magufulu watapiga kazi mana huwa hacheki kama mkwere
 
Namuonea huruma
1. Lissu
2. J. Ole Milya
3. J. Mnyika
4. General Katani
Sijui kama atapona huyu baba.

...na aombe Mungu wale wanaoenda mahakamani kudai ushindi wao washindwe kesi, vinginevyo.....!!
 
Eti Magufuli kachemka.....Kuanzia lini enyi vibaka wa upinzani mmetakia mema Magufuli?
 
Nadhani yuko sahihi kwani tayari ana uzoefu kwenye nafasi hiyo ya AG. Na pia kumtoa mtu huyo kwenye nafasi hiyo ni kuingiza gharama zisizo na msingi kwa serikali yake. Uteuzi huo ni sahihi kwa sasa.
 
Nadhani yuko sahihi kwani tayari ana uzoefu kwenye nafasi hiyo ya AG. Na pia kumtoa mtu huyo kwenye nafasi hiyo ni kuingiza gharama zisizo na msingi kwa serikali yake. Uteuzi huo ni sahihi kwa sasa.

Naona mmeanza utetezi
 
Nimeshaanza kuijutia kura yangu!
Hakika leo umenifanya nicheke, maana umekuwa na hisia kama zangu, ijapokuwa zangu zilianza mapema sana wakati uchakachuaji umeshaanza kuonekana.
 
Naona mmeanza utetezi

Rafiki siyo suala la utetezi bali kwa kuzingatia seniority katika ofisi ya AG, kwa kweli huyo ndiyo senior na kwa utaratibu nafasi hiyo ilikuwa inamwelekea labda kama angekopa Jaji fulani kutoka mhimili wa mahakama kufanya kazi hiyo. Kwenye ofisi hiyo huyo aliyeteuliwa ndiye senior kuliko wote.
 
We ulipigia fisadi Lowasa unajutia nini?
Kwani kama ningempigia Lowassa ningeogopa nini kusema? Kama ni kweli alichakachuliwa na bado akapata kura milioni 6 we unaona ni mchezo? Tumia akili wewe!
 
Mimi kuna watu siwaelewi kabisa.

Maana karibu yale yote ambayo wanayasema kuwa ndo yalikuwa sababu za kutokumpigia kura mgombea wa UKAWA, pia ya apply kwa mgombea wa CCM lakini eti kura wakampigia huyo wa CCM.

Kwangu haingii akilini kabisa.


Hahahah yale yale ya akina MTAZAMO!!

Hii inadhihirisha wabongo wengi IQ zao ni duni mno kama Kima!!!

Yaani eti mtu kwakua hamtaki Lowassa anachagua tena yule wa CCM!!! si afadhali ya Lowassa ana IQ kubwa na hayumbishwi sasa huyu keshateuliwa mpaka makatibu wakuu...wakuu wa vitengo n.k

Na Magufuli aliletwa tu kwa ajali ili kushindana na nguvu ya Lowassa hivyo hakuwahi jipanga wala jiandaa kuwa Rais hivyo tusitarajie mapya!!!
 
Huyo kateuliwa na JK ila MAGUFULI katangaza tu.....poleni sana mnaodhani JK kastaafu
 
Hakika leo umenifanya nicheke, maana umekuwa na hisia kama zangu, ijapokuwa zangu zilianza mapema sana wakati uchakachuaji umeshaanza kuonekana.
Hata hilo la kuchakachua kama ni kweli, litanifanya nijione kama nimechagua upande wa udhalimu. Dhamira itanisuta bila shaka.
 
Hata hilo la kuchakachua kama ni kweli, litanifanya nijione kama nimechagua upande wa udhalimu. Dhamira itanisuta bila shaka.


Halafu kuna Nguchiro humu wanasema eti atamsimamia afanye kazi!! hahahah Magufuli aliyejua sheria atamsimamia vipi huyu? Au huyu ndo anatakiwe amsimamie Rais ktk mambo ya kisheria?
 
Nadhani yuko sahihi kwani tayari ana uzoefu kwenye nafasi hiyo ya AG. Na pia kumtoa mtu huyo kwenye nafasi hiyo ni kuingiza gharama zisizo na msingi kwa serikali yake. Uteuzi huo ni sahihi kwa sasa.

kwa kigezo kipi?
 
Back
Top Bottom