Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Mkuu sikufiri kuwa na ww ni muumini wa Viongoz wa dzain ya KASUKU tambua jambo 1,EL sio muongeaji ni mtu wa vitendo ONA sasa umeanza kujutia KURA yako pole na wenzio wt mlifikiri kwa kukariri nabado mnadhani JK amestaafu poleni CCM ni ile ile
Nakubaliana pengine nilikuwa naive kidogo kuhusu Lowassa. kwani kipindi akiwa madarakani sikuwepo nchini. Hilo wengi waliokuwa wakimsapoti walilisema pale inapokuja hoja ya yeye kuwa na uwezo wa kujieleza na kuzungumza, walisema yeye ni mtendaji zaidi.

Hata hivyo miaka ya nyuma akiwa waziri kwenye serikali ya Mkapa, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuongea na kujieleza. Hata wakati anajiuzulu alikuwa hivyo nilipomuona kwenye video clip. Mashaka yangu makubwa pia yalikuwa ni watu walioko nyuma yake, ie kina RA, Msabaha et al.

Nikadhani kwamba kama tungepata bunge la UKAWA na Makomeo atumwe, taifa lingesonga mbele kwa maoni yangu.
 
Ningekuwa mimi ndio Mh. Masaju ningeomba kustaafu kwa manufaa ya umma. Maana habari ya Lissu ni ngumu mno...
 
CCM ni ile ile, Mambo ni yale yale, Watu ni wale wale, CCM mbele kwa mbele, Hapa kazi tu duh kazi tunayo awamu hii tutashuhudia vituko tusivyovitarajia kwani Marais waliotangulia hawatakuwa tayari kuona Magufuli anakuwa juu kuzidi wao.
 
Mkuu joka kuu....MAGUFULI ameingia kwa kuwahadaa watu kwamba ni Mtu wa mabadiliko ilitakiwa aanzie hapo sio kukariri kwakuwa watangulizi wake nao walifanya hivyo...cc wengine tulishaikatia Tamaa CCM miaka mingi tunajua hata akigombea OBAMA kupitia hicho chama CCM niileile
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo ambayo mtu akiongea ni lazima umuulize umri wake, na elim yake, hiv ubaya wa uteuzi wa masaju ni upi?? Au kunashida ipi??

Mje na hoja, au pendekezeni mnataka awe lisu?? Ujue nyie vijana nw dayz hamko critical mnaongozwa na mihemko ya kisiasa badala ya fact.

Sijaona ubaya wa masaju kuwa mwanasheria mkuu, maana amefanya kazi take vyema si mtu wa makuu, mpenda haki na msikivu..

Njoni na facts, y hamtaki hyo kisha pendekezeni mnamtaka nan??

Mkuu usijifanye mbuni Kujifanya hujui uwezo mdogo wa MASAJU...sisi wengine tunajua huyo amewekwa na Jk kulinda mikataba kwa ufupi MASAJU hatoshi kuwa AG
 
Wote mliochagua CCM hamna HAKI yakulalamikia chochote kitachoikumba NCH hii chini ya CCM
 
Uzuri Magufuli sio bendera fuata upepo, hapa mwanzo wahafidhina watambana sana ila akishatambua mamlaka yake sidhani kama atawaelewa!
Wasaidieni wananvhi kwa kutopandisha sana matumaini makubwa ya mabadiliko, itamletea tabu si yeye tu nachama chake bali na nchi kwa ujumla. Ni vizuri wananchi wakawa na matarajio ya kawaida na anapotenda wanona kuna mabadilko kuliko kuwafanya wawe na matarajio ya juu lakini yakatokea ya kawaida!
 
Sikumpigia Makomeo kwasababu naipenda ccm mkuu, nisome vyema utanipata.

Mkuu sababu unaweza kuwa Nazi nyingi tena za maana lkn kitendo cha kumpigia Magufuli ni kosa ambalo hutasamehewa na wapenda mabadiliko ya kweli
 
CCM itamfia mkononi mwaka 2020. Kama anaendeleza kuwaweka watu wasiofaa, basi ccm haina wasafi aise
 
Ina maana sababu alizozitumia JK kumteua Joji Masaju ndo hizo hizo alizozitumia Makomeo kwenye uteuzi wake? Hao si watu wale wale waliofanikisha kupitisha mikataba tunayoilalamikia?

..ccm au serikali hawafikirii jinsi sisi tulioko nje ya serikali tunavyofikiria.

..tulioko nje tunaona watu kama Chenge na wengine kuwa ni watu wabaya na wa hovyo, lakini walioko ndani ya serikali/ccm ambao wamefanya naye kazi wana mtizamo tofauti kabisa.

..walioko ndani ya serikali wanaona wamechapa kazi kwelikweli na matokeo yanaonekana na ukiwahoji wanakuona kama mtu mwenye chuki na wivu tu.

..kwa hiyo unapoangalia teuzi hizi na nyingine zitakazofuatia inabidi utambue/uzingatie hayo niliyokueleza hapo juu.
 
Ndo mwanzo kaanza hivi kwa kasi hii, je mawaziri itakuwaje? Nepi naye utasikiwa waziri wa jinsia na watoto teh
 
Walioichagua CCM wakitegemea ari mpya, nguvu mpya, na mwamko mpya walie tu. Yaliwashinda waliomtangulia ni yeye? Watanzania tunajidanganya. Msitu ni uleule tumedadili tumbili tu. Hali itakuwa mbaya mara mbili. Msije na majuto leo leo subiri walau kukuche kesho.
 
Sikutegemea mabadiliko, ila kuna scenario ambayo nilidhani ingeleta unafuu. Yani bunge liwe la UKAWA na wamtume Makomeo. Ndivyo nilivyopiga kura na kutegemea ingetokea hivyo kwenye ubunge.

Mkuu kwa SIASA zetu hizi za Afrika ukitaka kumfukuza Mwendawazimu Unafukuza na MAKOPO yake au wee unadhani tuliomchagua El unadhani tunampenda sana?,NO nivile tuliamini anaweza kutusaidia kuvunja mgongo wa hili JOKA liitwalo CCM wee unaleta SIASA za Marekani Afrika duuh......
 
Nakubaliana pengine nilikuwa naive kidogo kuhusu Lowassa. kwani kipindi akiwa madarakani sikuwepo nchini. Hilo wengi waliokuwa wakimsapoti walilisema pale inapokuja hoja ya yeye kuwa na uwezo wa kujieleza na kuzungumza, walisema yeye ni mtendaji zaidi.

Hata hivyo miaka ya nyuma akiwa waziri kwenye serikali ya Mkapa, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuongea na kujieleza. Hata wakati anajiuzulu alikuwa hivyo nilipomuona kwenye video clip. Mashaka yangu makubwa pia yalikuwa ni watu walioko nyuma yake, ie kina RA, Msabaha et al.

Nikadhani kwamba kama tungepata bunge la UKAWA na Makomeo atumwe, taifa lingesonga mbele kwa maoni yangu.

Mkuu Siasa hizo ni kwa watu wanaojitambua sio huku Afrika huku unamuondoa Kuku na Kiota chake
 
Leo ni siku ya kusherehekea ushindi sio siku ya uteuzi. Kama kweli kateua Tanzania inaangukia pua mchana kweupe. Ni leoleo watu wameshaanza kumkumbuka Lowassa. Kesho atakapoongozana na lile genge lote itakuwaje?
 
Back
Top Bottom