Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Mlitaka ateuliwe lissu?masaju ana kosa gani?isitoshe hana zaidi ya miezi 8 ofisini muacheni aendelee.
 
Yangu wala haikuwa protest vote. So pamoja na uwezo mzuri wa mama kujieleza, bado uahalisia wa kushinda ulikuwa finyu zaidi.

My wish ilikuwa Pombe apate lakini bunge liwe UKAWA. Unfortunately haikuwa hivyo.

Kwa muda mrefu niliokuwa US, na kushuhudia na pia kushiriki kampeni za urais. Nilipata shida na EL kwakuwa sikupata kumsikia vyema akisema atalifanyia nini taifa letu, hata mahojiano aliyofanya ni yale ya bbc hayakuni impress given nafasi anayogombea. Kujieleza ni muhimu sana kwa nafasi ya urais. I believe people who wants to be president of Tanzania should be able to answer tough questions.

Brother Mushi long time sana,....
Mbona Kikwete alikuwa anaweza sana kujieleza lakini kaharibu??
Mkapa hadi Kule BBC na G8 alitisha sana lakini ndiyo akaishia kuwa mporaji mkubwa wa mali za UMMA?

Vladmir Putin wa Urusi hajui kujieleza sana lakini unamwona anachofanya?
Xi Jing Ping wa China siyo muongeaji sana lakini angalia Uchina.
Hu Juntao wakamwita a mute lakini angalia China ilipofika....

Tunachotaka ni matendo siyo Lullabies ambazo wanatuimbia kila uchaguzi unapofika ili tusinzie na tusione ukweli.....

Bottom line is,....
Magufuli Serikali itamsumbua sana kuiongoza,....
 
Kuna watu wachache sana wanaoiendesha taasisi ya Urais. Mnaodhani Magufuri atafanya/kuleta tangible changes, mtasubiri sanaaa. Bahati nzuri CCM wameshawaambia mapema kwamba mtaisoma namba maana wamejipanga kuendeleza yale yale.

Huyu Masaju bure kabisa. Yaani kuna kipindi hata January Makamba alikuwa anaonekana ni mwelewa kidogo wakati sheria ya makosa ya mtandao inajadiriwa bungeni
 
Nadhani yuko sahihi kwani tayari ana uzoefu kwenye nafasi hiyo ya AG. Na pia kumtoa mtu huyo kwenye nafasi hiyo ni kuingiza gharama zisizo na msingi kwa serikali yake. Uteuzi huo ni sahihi kwa sasa.
Duh! Kwa hiyo tutegemee watu wale wale kwa sababu wana uzoefu na kuteua wapya ni gharama! Kwa hiyo hakuna cha safu mpya ya Magufuli! Bila shaka kama si katiba kuzuia hata Raisi angebakia yuleyule mwenye uzoefu kwani gharama za uchaguzi ni kubwa mno. Kwa sababu gharama ya elimu ni kubwa heri kuendeleza ujinga! Naona tumeruka mk...tukakanyaga ma... oops sorry, tumeruka maji tukakanyaga moto!
 
Nimeshaanza kuijutia kura yangu!

Yaani Afsa, na ujanja wote sikutarajia kuwa unaweza kuichagua CCM. Ni kweli kura yako ilikwenda kwa maCCM? Kama ni kweli, wizi wa kura unaolalamikiwa na UKAWA inaweza kuwa kiini macho.
 
Uwezo wako wa kuelewa ndo unatia shaka zaidi.[/QUO
jaribu kupitia hoja zako tena kwa umakini utabaini ya kuwa kama hauna uwezo mdogo wa kufikiri basi utakuwa umetumia majani ya mwarobaini
 
...kumteua masaju kuwa AG ni janga kuu...huyu ndie alitumika kupeleka bungeni na kuhakikisha imepita ile miswada yote kandamizi.....miswada ile iliyopita kwa nguvu dakika za lala salama...mfano ule wa cyber crime ulikuwa sheria na kutumika sana kuzuia mawasiliano wakati wa uchaguzi...pia mswada wa takwimu....na ule wa habari uliokataliwa....pia miswada hovyo ya gesi yote alihusika kuitetea masaju....

....my take....huyu kapewa fadhila kwa teuzi hii....ili kushinikiza miswada kinguvu bungeni....na nina hakika kazi yake itakua ngumu sana safari hii bungeni...maana watu watakomaa nae baada ya kuwa wameshamjua vema sasa....

...labda niwatake tu ukawa wampe mkuu tundu lissu nafasi yake ya chief weap...ili aendeleze libeneke kwa kina masaju...maana ubishi wa lissu ulisaidia sana kuzuia majanga zaidi bunge lililopita...pale ambapo mara nyingi alisimama peke yake dhidi ya masaju na genge lake serikalini kuwapinga vilivyo....
 
siyo mjita kweli?una uhakika ni msukuma?
...yap ni mjita....naona magufuli kaanza na wa kwao....ukanda naona utatamalaki pia kwenye teuzi za magufuli pia....kama ambavyo JK alijaza washahili wenzake serikalini.....wabongo ndivyo walivyo...wala sitashangaa....
 
Huyu Joji si ndo yule yule?

Mkuu labda ni mtu mwingine, lakini kama ni huyu ambae alikuwa anapata wakati mgumu kutoka kwa akina Tindu Lissu na wanasheria wengine machachali,wanabishana vitu vingine ambavyo vilikuwa 2 obvious - hapo mimi sina la KUSEMA!!!
 
Mkuu umeona mbali kweli kweli na ualisia ndo huo tusbr tuone mm naungana na ww kwa hili

kwa position ya Masaju ni vizuri akipewa another life line. Na akishindwa sidhani kama Magufuli atakwepesha macho na kufanya maamuzi makini. Nina imani na Magufuli.
 
Atengue nini huyo wakati mwanasheria mwenyewe ni yule wa mkwere. Mafisadi ni walewale
 
Back
Top Bottom