jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
Hahahah yale yale ya akina MTAZAMO!!
Hii inadhihirisha wabongo wengi IQ zao ni duni mno kama Kima!!!
Yaani eti mtu kwakua hamtaki Lowassa anachagua tena yule wa CCM!!! si afadhali ya Lowassa ana IQ kubwa na hayumbishwi sasa huyu keshateuliwa mpaka makatibu wakuu...wakuu wa vitengo n.k
Na Magufuli aliletwa tu kwa ajali ili kushindana na nguvu ya Lowassa hivyo hakuwahi jipanga wala jiandaa kuwa Rais hivyo tusitarajie mapya!!!
Ni ukweli kuwa ccm lazima wangeshinda kutokana na kuwa tume ya uchaguzi ni ya kwao.
Having said that, wewe unaona Membe ndo angekuwa bora kuliko Makomeo?