Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Haaaa AG alikuwa nani vile? Masaju alikuwa nani b4?

Alikuwa kwenye nafasi hiyo hiyo. Nadhani ni mahitaji ya kikatiba kwamba Rais mpya ateue AG mpya anapoingia tu. Kaamua kuendelea na aliyepo.

Kidogo alipwaya bungeni siku za mwanzo.
 
Bado mtaona mengi. Mvingo wa zamani kwenye chupa mpya.. Ccm ni ile ile. Alikuwa anasema Kikwete alichagua viogozi wabovu nae kaanza nao.

Kwa uteuzi huu wa bwana pombe usije kushangaza muuza magari mabovu UK akateuliwa balozi na sharti la kufunika starlet kuteuliwa mkuu wa mkoa.

Cc: Chilisosi , W. J. Malecela
 
Last edited by a moderator:
Magufuli needed a very strong and professional attonery and legal advisor because he is an ignorant of law

now I can not see any change
 
...

....Hata sisi wanamazingira tunasisitiza recycling products !!!
 
kweli CCM NI ILE ILE,MAGUFULI WAPI MABADILIKO?MBOWE SITAKUSAMEHE KWA KUCHELEWESHA MABADILIKO YA KWELI KWA KUMWEKA LOWASA AGOMBEE URAIS
 
naona kama anampa Masalu life line hapa, akishindwa kusimamia hoja za UKAWA. anachomolewa siku hiyo hiyo.
 
Seriously?

Na wewe ulimpigia Magufuli?

Kwa nini hukumpigia walau yule mama wa ACT kama kura yako ilikuwa ni 'protest vote'?
Yangu wala haikuwa protest vote. So pamoja na uwezo mzuri wa mama kujieleza, bado uahalisia wa kushinda ulikuwa finyu zaidi.

My wish ilikuwa Pombe apate lakini bunge liwe UKAWA. Unfortunately haikuwa hivyo.

Kwa muda mrefu niliokuwa US, na kushuhudia na pia kushiriki kampeni za urais. Nilipata shida na EL kwakuwa sikupata kumsikia vyema akisema atalifanyia nini taifa letu, hata mahojiano aliyofanya ni yale ya bbc hayakuni impress given nafasi anayogombea. Kujieleza ni muhimu sana kwa nafasi ya urais. I believe people who wants to be president of Tanzania should be able to answer tough questions.
 
Back
Top Bottom