kwa position ya Masaju ni vizuri akipewa another life line. Na akishindwa sidhani kama Magufuli atakwepesha macho na kufanya maamuzi makini. Nina imani na Magufuli.
Naona kabisa JK akiongoza Nchi kwa rimoti toka Msoga.
Watanzania ni sisi wala hakuna wa kutuongoza ambaye atatoka nje ya nchi. Nyinyi mlishindwa kwenye sanduku la kura kelele za nini sasa...Magufuli atatumia watanzania hawahawa kuleta mabadiliko ya kweli na hata import kama nyinyi mlivyofanya kuleta vijana wa IT kutoka vietnam na kenya.
Hao watu wapya mnaotaka wateuliwa kama mungechukua nchi mungewatoa wapi wakati tuliona mnawatumia walewale tena unused from CCM????. Nyie mnafahamika hamna jema...kilakitu kwenu ni kibaya...
Mkuu huyu ni lazima ilibidi arudi si unajua ile mikataba mingi ye ndo alikuwa ntu kati. so lazima ifike mwisho chini ya usimamizi wake....kumteua masaju kuwa AG ni janga kuu...huyu ndie alitumika kupeleka bungeni na kuhakikisha imepita ile miswada yote kandamizi.....miswada ile iliyopita kwa nguvu dakika za lala salama...mfano ule wa cyber crime ulikuwa sheria na kutumika sana kuzuia mawasiliano wakati wa uchaguzi...pia mswada wa takwimu....na ule wa habari uliokataliwa....pia miswada hovyo ya gesi yote alihusika kuitetea masaju....
....my take....huyu kapewa fadhila kwa teuzi hii....ili kushinikiza miswada kinguvu bungeni....na nina hakika kazi yake itakua ngumu sana safari hii bungeni...maana watu watakomaa nae baada ya kuwa wameshamjua vema sasa....
...labda niwatake tu ukawa wampe mkuu tundu lissu nafasi yake ya chief weap...ili aendeleze libeneke kwa kina masaju...maana ubishi wa lissu ulisaidia sana kuzuia majanga zaidi bunge lililopita...pale ambapo mara nyingi alisimama peke yake dhidi ya masaju na genge lake serikalini kuwapinga vilivyo....
CCM itamfia mkononi mwaka 2020. Kama anaendeleza kuwaweka watu wasiofaa, basi ccm haina wasafi aise
Ningekuwa mimi ndio Mh. Masaju ningeomba kustaafu kwa manufaa ya umma. Maana habari ya Lissu ni ngumu mno...
uteuzi dhaifu.bora angembadilisha.huyu jamaa hana msuli wa kupambana na vichwa vya ukawa
Ningetegemea naye aibue sura na vichwa vipya kama yeye alivyoibuliwa na mzee mkapa,kwani wataalamu wameisha wakati watu wana graduate kila siku, na yeye anatakiwa awa groom watu.nadhani ile style ya copy & paste tunayo.
Mkuu, mwanasheria si kama mkuu wa wilaya au barozi au hata waziri, ile ni taaluma na uzoefuc
Hivyo huwezi kumpa mtu ambae humujui, bigup president makufuri kwa kumwamin masaju...
uteuzi dhaifu.bora angembadilisha.huyu jamaa hana msuli wa kupambana na vichwa vya ukawa