Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Ccm Ni Ile Ile
Ccm Imechoka Tuitoe, By Magufuli.
 
KAMA NI HIVI, TUMEYARUDIA MATAPISHI.

Mhe. Tundu Antiphas Lissu alishawahi kuapa bungeni kuwa: Hata bure, hawezi kupokea ushauri wa kisheria kutoka kwa Bwn. George Masaju aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya nne.

Leo hii, sifa za kijinga, kwamba eti #hapa_kazi_tu , ameteuliwa tena yule yule George Masaju, ambaye alikuwa mtetezi wa sheria mbovu ndani ya bunge, moja wapo ni ile ya Uhuru wa kupata habari, gesi na petroli, nk.

Hatutarajii jambo lolote jipya kwani hakuna cha kuleta upya, wabunge wa CCM ni walewale ambao watateuliwa kuwa mawaziri, business as usual, ndiyo maana walituimbia nyimbo "CCM ni ile ile", nasi tukaitikia. Tulitaka mabadiliko, baadhi wakajidanganya kuwa hata wao wangeleta mabadiliko, bila kufahamu kuwa CCM ilikwisha kuyakataa mabadiliko ya kweli tangu kwenye bunge maalum la Katiba.

Hatuna matatizo na magufuli yeye kama yeye mbali na kuapa kwa ushindi ambao haukuwa saizi yake, ila tuna tatizo na uwezo wake kama rais, pia na chama chake kitakachounda serikali, chama cha mapinduzi CCM, chama kilichofikia ukomo wa kufikiri kwa niaba ya taifa, na kilichoshindwa kutetea maslahi ya watanzania wote.

Inachosikitisha ni kwamba baadhi ya wananchi wameamua kuyarudia matapishi yao, vijana wasio na ajira rasmi wamekuwa washabiki wakubwa wa siasa bila kufikiri hatma yao miaka ishirini-thelathini ijayo, vijana wasio na elimu wamejikuta kwenye wimbi la ujinga kushabikia siasa bila kutafakari tulikotoka na tunapokwenda, wazazi wameshindwa kua,mua vema kwa manufaa ya vizazi vyao, wakaangalia maslahi yao yanayowanufaisha leo....

Taifa linaingia matatizoni siku ya kwanza, na naamini tutajuta sana siku za usoni, lakini tukumbuke kuwa "Majuto ni mjukuu. Mlijuta....mnajuta...mtajuta...mtakujajuta
 
Tundu Lissu atulie. Masaju si mzuri wa kuongea ila ni mwajibikaji
 
Huyo hakoseagi kuchagua, na yeye hadi amchague kasha msoma siku nyingi tu kama alivyokuwa amemsoma makamu wake, maana alipomchagua makamu wake watu napo mlisema sana, lakn yule mama yuko vizur, acheni hizo rongorongo,
Huyo mama alilikoroga kwenye katiba ya Wananchi na ndio maana tumerudi square one. Hapa lazima nikiri kuwa, wananchi wanapoona CCM wamelikoroga, wao CCM wanaona ndivyo inavyotakiwa kwa sababu interests za wananchi ni tofauti na za CCM.
 
Watu wamefikiri na wametumia busara zao ndio maana wakapata maamuzi sahihi kuwa Lowassa si mtu sahihi wa kumpa nchi.
 
KAMA NI HIVI, TUMEYARUDIA MATAPISHI.

Mhe. Tundu Antiphas Lissu alishawahi kuapa bungeni kuwa: Hata bure, hawezi kupokea ushauri wa kisheria kutoka kwa Bwn. George Masaju aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya nne.

Leo hii, sifa za kijinga, kwamba

#hapa_kazi_tu , ameteuliwa tena yule yule George Masaju, ambaye alikuwa mtetezi wa sheria mbovu ndani ya bunge, moja wapo ni ile ya Uhuru wa kupata habari, gesi na petroli, nk.

Hatutarajii jambo lolote jipya kwani hakuna cha kuleta upya, wabunge wa CCM ni walewale ambao watateuliwa kuwa mawaziri, business as usual, ndiyo maana walituimbia nyimbo "CCM ni ile ile", nasi tukaitikia. Tulitaka mabadiliko, baadhi wakajidanganya kuwa hata wao wangeleta mabadiliko, bila kufahamu kuwa CCM ilikwisha kuyakataa mabadiliko ya kweli tangu kwenye bunge maalum la Katiba.

Hatuna matatizo na magufuli yeye kama yeye mbali na kuapa kwa ushindi ambao haukuwa saizi yake, ila tuna tatizo na uwezo wake kama rais, pia na chama chake kitakachounda serikali, chama cha mapinduzi CCM, chama kilichofikia ukomo wa kufikiri kwa niaba ya taifa, na kilichoshindwa kutetea maslahi ya watanzania wote.

Inachosikitisha ni kwamba baadhi ya wananchi wameamua kuyarudia matapishi yao, vijana wasio na ajira rasmi wamekuwa washabiki wakubwa wa siasa bila kufikiri hatma yao miaka ishirini-thelathini ijayo, vijana wasio na elimu wamejikuta kwenye wimbi la ujinga kushabikia siasa bila kutafakari tulikotoka na tunapokwenda, wazazi wameshindwa kua,mua vema kwa manufaa ya vizazi vyao, wakaangalia maslahi yao yanayowanufaisha leo....

Taifa linaingia matatizoni siku ya kwanza, na naamini tutajuta sana siku za usoni, lakini tukumbuke kuwa "Majuto ni mjukuu. Mlijuta....mnajuta...mtajuta...mtakujajuta

Tundu Lissu atulie. Masaju si mzuri wa kuongea ila ni mwajibikaji

MASAJU is a liability in the legal system of our country compared with bright Lisu.
 
Ujinga umeanza......mtu anadai msukuma ndiyo maana kateuliwa! Kwanza nani kakuambia Masaju ni msukuma? na hata kama angekuwa ni msukuma je, umeangalia rekodi yake? CV? na suala la uadilifu? Acheni kupalilia ukabila na ukanda mtaumia

Acha yoote hebu tupatie Record yake.....
 
Watanzania ni AJABU la 8 la DUNIA hivi kuna watu wanategemea mapya kwa MAGUFULI daaah....
 
Jamani uongozi mpya ndo huooo,
Wana mabadiliko tusife moyo tulenge kuleta mafuriko ya kura zaidi 2020
Sasa huyu muheshimiwa Rais alisema hapa ni kazi tu
Na kwa kuanza kazi yake ameanza kwa kumteya AG Masaju
Lakini kwa wale wafuatiliaji hasa wa bunge lililopita mtaungana na mimi namna ambavyo mheshimiwa huyo alivoonekana kupwaya kwenye nafasi hiyo
Nina hofu sana na uteuzi huu anya way ngoja niweke akiba ya maneno yangu
Mabadiliko 2020
 
Back
Top Bottom