Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mleta mada hebu kuwa serious???
Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza
ni kassim majaliwa ndio pm
Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.
Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.
Huyu alikuwa timu nani
Vice president muislam fa mwanamke pm muislam hongera kwa rais magufuli kwa kubalance nchi
hahaha watu walijichagulia wao mara mwigulu mara mwakyembe
Mkuu baada ya kusomwa waziri Mkuu ndo heading ikabadirika, watu wamekereka kupigwa chini tabiri zaombona siwaelewi? Aliyeripoti sms ya mwanzo alisema yanayojiri bungeni ni kuwa PM aliyesomwa kutoka bahasha ya rais ni Kasim Majaliwa, halafu wana jf nao wanaleta pm wao, inakuwaje sasa? Au kurasa hizi za jf ni za upotoshaji tu na si chanzo sahihi cha habari? Tusikurupuke jambo hili ni nyeti tuujue ukweli na si porojo tuuu hapa!
.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....