Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Mleta mada hebu kuwa serious???

Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza

Nyumbu una spam watu washasikia kilio chako cha moyoni. imekuchoma na jinsi unavyorudia rudia post watu wawe makini usije kujiua bure. Yale Mapandikizi ya CCM Masalia yaliyo UKAWA hayana nafasi hapa
 
Tuwe na imanii nae tu kwani hata magufuli hatukutegemea kama angekua raisi tumpe muda ndio tuanze kucomment#hapa kazi tuuu
 
Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.

Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.


Shemeji unatuachaje........ jibu lishapatikana. Mabadiliko ndoto Tanazania. Sasa tusubiri kina Wassira wanarudushiwa wizara zao. Watu wale wale, sera zile zile. CCM oyeeeeeeeeeeeee!
 
PM Mtarajiwa Hana makundi. Na ni kio ngozi mahiri asiyekuwa na uccm wala ucdm na Mh JPM anataka kulifanya taiga kuwa moja. Ila namsilitikia Mh Nape alitegemea Sana kuwa PM. Mpeni pole.
 
Ufuatilii mambo ww hapa jf kuna mkuu aliandika kuwa huenda majaliwa akawa MP wiki zilizopita
 
mbona siwaelewi? Aliyeripoti sms ya mwanzo alisema yanayojiri bungeni ni kuwa PM aliyesomwa kutoka bahasha ya rais ni Kasim Majaliwa, halafu wana jf nao wanaleta pm wao, inakuwaje sasa? Au kurasa hizi za jf ni za upotoshaji tu na si chanzo sahihi cha habari? Tusikurupuke jambo hili ni nyeti tuujue ukweli na si porojo tuuu hapa!
Mkuu baada ya kusomwa waziri Mkuu ndo heading ikabadirika, watu wamekereka kupigwa chini tabiri zao
 
Ama kweli huu mwaka wa mabadiliko, usiyemtarajia ndo huyo, yani tumeanza kubet kwa mgombea urais mhindi kala kichwa, tukaja kwa spika tukapoteza mchezo, sasa kwa PM mhindi kala kichwa kilaini kabisa. Haya ngoja tusubirie atuonyeshe kasi yake.
 
Huyu mheshimiwa kule kwetu Ruangwa amepita kwa ubabe tu hakubaliki hata kidogo na huyu swahiba wake mkubwa mheshimiwa hatare sana
 
Ongeza kipato nje ya mshahara wako,ni bure kabisa,ofisi wala mtaji hauhitajiki,Follow the link below http://jamiiforums.com/?ref=7639
 
.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....

Hata angekuteua wewe wapo ambao wangekupinga tu. Hivyo tuache maamuzi ya Rais.
 
Back
Top Bottom