Tetesi zinasema Makamba ndio waziri mkuu. Pathetic sana, kama atamteua Makamba nitajua kuwa kuna remote control.
hata mm ni miongon mwa niliyejuwa kuwa mwakyembe ndiye lakn kumbe siye
ni kassim majaliwa ndio pm
Ilisha leak kwahiyo sio surprise
Waziri mkuu alitakiwa muhongo ama mwigulu,sasa huyu majaliwa,,,,,,,,,,,
ndio hivyo....
Mimi nimeridhika na uteuzi huu, tena kwa asilimia mia. Tumepata mtu ambaye hakuwepo kwenye midomo ya watu..sio maarufu kwenye media..amekaa wizara ya waziri mkuu kwa miaka mitano tu. Hivyo experience yake inatosha sana kuwa PM.Watanzania hatueleweki, akimchagua makamba ni remote control, na sasa kamchagua kassem na kwa sababu ametokea Lindi mnasema ni remote control.
2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..
ingekuwa siri hata jina lisinngeongelewa. ukizingatia huyu mtu siyo maarufu siasa za bongo .kwenye mashauriano ya kupata waaziri mkuu kuna watu walilikisha hili jina. watu kukisia majina maarufu kama lukuvi na mwakyembe ni sawa lakini mtu asiye maarufu kama maja ujue kuna leakage.wewe watu walibaki kukisia tu,yaani ilikuwa ni probability,ila 2006 ilijulikana kabisa kuwa ni Lowasa,na baada ya lowasa kuondoka ikajulikana kabisa kuwa ni Pinda
Hakuna shaka yoyote kua pinda kahusika hapa kumshawishi magufuli ili amteue Kassim Majaliwa. Huyu ni rafiki mkubwa sana wa Pinda na alikua Naibu Waziri Office ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa katika serikali ambayo Pinda alikua waziri mkuu.
Yaani ndani ya serikali watu hawaaminiki, walishatoa jina mtaani, nani angewaza ni Mh Majaliwa kuwa ndie chaguo la Mh Raisi JPM?
Utakuwa na upungufu wa ajili mwilini. Mwakyembe ni nani kwani? Ni yeye tu mwenye uwezo wa kuongoza? Kwanza ni mtu mpenda sifa, ana makundi mengi..angemuangusha raisi. Kassim ni uteuzi mzuri..lakini sasa ndo kaharibu, ayahhh! nani atamsaidia kutekeleza kauli mbiu yake kama si Mwakyembe na wengine wanaojulikana kwa utendaji wao???
Huyu ndie nani.....? alikuwa mwanamziki nadhani, kama sikosei alikuwa TOT!