Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Tetesi zinasema Makamba ndio waziri mkuu. Pathetic sana, kama atamteua Makamba nitajua kuwa kuna remote control.

Watanzania hatueleweki, akimchagua makamba ni remote control, na sasa kamchagua kassem na kwa sababu ametokea Lindi mnasema ni remote control.
 
Hakuna shaka yoyote kua pinda kahusika hapa kumshawishi magufuli ili amteue Kassim Majaliwa. Huyu ni rafiki mkubwa sana wa Pinda na alikua Naibu Waziri Office ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa katika serikali ambayo Pinda alikua waziri mkuu.
 
Dah!!!:shock::shock::shock: MH Raisi JPM hapa umetuangusha saaana kwa kweli, umeacha kutuletea jembe kama wewe sasa ile hapa kazi tu itaendaje?
 
1447917045938.jpg
 
lakini sasa ndo kaharibu, ayahhh! nani atamsaidia kutekeleza kauli mbiu yake kama si Mwakyembe na wengine wanaojulikana kwa utendaji wao???
 
Watanzania hatueleweki, akimchagua makamba ni remote control, na sasa kamchagua kassem na kwa sababu ametokea Lindi mnasema ni remote control.
Mimi nimeridhika na uteuzi huu, tena kwa asilimia mia. Tumepata mtu ambaye hakuwepo kwenye midomo ya watu..sio maarufu kwenye media..amekaa wizara ya waziri mkuu kwa miaka mitano tu. Hivyo experience yake inatosha sana kuwa PM.
Haya majina ya Mwakyembe, Makamba, Muhongo yalikuwa yananichosha tu, Kwani Tanzania ina watu walewale tu.
 
2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..

yap uko sawa! huyu ingawa simjui ila hata tofautiana na PINDA
 
wewe watu walibaki kukisia tu,yaani ilikuwa ni probability,ila 2006 ilijulikana kabisa kuwa ni Lowasa,na baada ya lowasa kuondoka ikajulikana kabisa kuwa ni Pinda
ingekuwa siri hata jina lisinngeongelewa. ukizingatia huyu mtu siyo maarufu siasa za bongo .kwenye mashauriano ya kupata waaziri mkuu kuna watu walilikisha hili jina. watu kukisia majina maarufu kama lukuvi na mwakyembe ni sawa lakini mtu asiye maarufu kama maja ujue kuna leakage.
 
Hakuna shaka yoyote kua pinda kahusika hapa kumshawishi magufuli ili amteue Kassim Majaliwa. Huyu ni rafiki mkubwa sana wa Pinda na alikua Naibu Waziri Office ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa katika serikali ambayo Pinda alikua waziri mkuu.

Japo siyp mkali katika hoja, ila ni mtu smart. Hongera New nominated appointee kwa H E JPM kukuona.
 
lakini sasa ndo kaharibu, ayahhh! nani atamsaidia kutekeleza kauli mbiu yake kama si Mwakyembe na wengine wanaojulikana kwa utendaji wao???
Utakuwa na upungufu wa ajili mwilini. Mwakyembe ni nani kwani? Ni yeye tu mwenye uwezo wa kuongoza? Kwanza ni mtu mpenda sifa, ana makundi mengi..angemuangusha raisi. Kassim ni uteuzi mzuri..
 
Back
Top Bottom