Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sisi hatuna mpango na waziri Mkuu wa ccm, tunataka maalim Seif ahudhurie Bunge Hilo kama RAIS halali wa Zanzibar.
Aaah anatoka kanda ya kati trust me
Waziri mkuu ni mulyambange
Thubutu ! Unacheza na MaguMuhongo anafaa sana lakıni uteuzi wake utamfanya Magufuli aanze kuandamwa na media mapema sana tena wakiongozwa na Mengi.