Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

bahasha imeletwa na escort!, imebebwa na mjeshi nadhani ni ADC!, gari iliyoleta ilikuwa inaongozwa na pikipiki ya polisi!, wameshuka watu 5, wanaume wanne na mwanamke mmoja!, wanaume watatu wamevaa suti nyeusi, mjeshi kavaa uniform ya jeshi na mwanamke amevaa nguo ya kitenge!. Wote wanaingia lango kuu la bunge ....
 
Eti Magufuli ni kiboko!

Ukiboko wake ni nini hasa?

Watu wengine bana....yaani vitu vya kawaida tu lakini wanavyovikuza utadhani ni kiama vile!

Shameful.
 
anamteua yeyote anayeona anaweza kufanya nae kazi,
utendaji, mahali anatoka, uzoefu, umri, ni vigezo muhimu
 
Waziri mkuu ni Ridhiwani kikwete unataka ndo ivyo ivyo hutaki ndo ivyo ivyo na ndivyo itavyokuwa
 
Jina linaingizwa kwa mbwembwee utadhani la maana bac mhhh cjui
 
Back
Top Bottom