Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Alikua naibu waziri Elimu Tamisemi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa kuthibitishwa na bunge kwanza ndiyo awe waziri mkuu,hivyo wasifu kamili unaandaliwa na mwanasheria mkuu wa serikali.Wasifu Wake Please
Ulitaka jina unalolijua? Mwakyembe, Makamba, Muhongo....kwani unaujua uwezo wake wa utendaji?.........mimi sijafurahishwa na uteuzi wake.......maana sioni akiendana na kasi ya kazi tu....
ni kassim majaliwa ndio pm
wewe lazima tukufatilie vizuri, wewe ni mtu makini sana wa kuchambua mambo, yaani mtu ambae hata hayupo aliyewahi kumdhani, eti ndo pm???? duni kassim majaliwa ndio pm
ccm kwa ma suprise wanatisha... full drama mambo yao.. ndio maana wanatawala miaka 50. wana zengwe hatari
Shemeji yake mkulu aliye ondoka kweli nchi hii ni ndugu kupeana. Sisi tuendelee kulialia hadi tutakapo enda ahera.