Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Tunakunywa Pombe,Tukilewa tunatafuta SULUHU,Tukipata Majaliwa tunarudi Kupiga Job.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe evidence ya hilo gazeti ? Hata kapicha tuu mkuu
Huyo Majaliwa kafanana na JK kweli kweli
MTAJIBEBA NA MBEREKO!!!! Hii ndio CCM chama cha Kitaifa..... Team inapangwa kwa kuzingatia Uwezo, Matabaka, Kanda, na Jinsia...... Rais - Kanda ya Ziwa (Mwanaume)..... Makamu - Zanzibar (Mwanamke)....Speaker....kanda ya kati (Mwanaumeme) ......Naibu Speaker Nyanda za juu kusini (Mwanamke)...... Waziri Mkuu ....Kusini Pwani (Mwanaume)...... CCM ni Raha tupu.....purely Scientific........ Walee jamaa Zetu Wanazidi kupagawa!!!
Katika kazi ya kuteuwa Waziri Mkuu umefanywa kwa weredi nimeona binafsi kuwa Kassim Majaliwa ni bora kuliko wale tuliowazoea maana Bora Panya mpya kuliko panya wa Ghalani" Maana panya wa ghalani kumfukuza ni kazi na usipokuwa makini unaweza kuangukiwa na magunia!ila panya mpya ni bora si muharibifu kama mwenyeji!Naona sasa ile dhana ya kuwa na viongozi tulio wazoea inaanza kupotea,hapa naanza kuona hata mawaziri wanaweza kuwa wapya!
Hii inaweza kurudisha imani katika chama cha mapainduzi.
Tunakunywa Pombe,Tukilewa tunatafuta SULUHU,Tukipata Majaliwa tunarudi Kupiga Job.
Hata magazeti ya leo yamemtaja kwa uhakika
mwenye link ya kuangalia online live tujuze tafadhali maana wengine tupo vibaruani