Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Tatizo watu wivu wanashanga huyu mhuni kawezzaje kajenga mradi kama huo na utatoa ajira, atalipa kodi etc

Wakati kuna watu wako na walikuwa kwenye uongozi wao wana mijihela kibao wanakula wao na watoto zao pesa zingine wanazificha nje ya nchi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Well, I got nothing to say. How did even this became an issue?
 
There is no politics here, but a fact.
 
Ni jambo jema!
 
Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hiyo inaitwa “funika kombe mwana haramu apite” au “hewala si utumwa “.
 
Hotel Desderia si ndio ya Sugu? Hivi wakimvunjia wanapata faida gani zaidi ya kumtia hasara mwenye hoteli pamoja na kuwafanya watu wapoteze ajira zso na serikali kukosa kodi?
Kuna watu wana roho mbaya sana halafu utawaona makanisani wanachangisha sadaka.
 
Kamanda erythrocytes kibarua kilikaribia kuota nyasi hapo hotelini mshukuru Rais Magufuli!
 
Lingekuwa na pigo jingine kwa Mr. Sugu. Heri Rais ameamua kuingilia kati. Zimwi likujualo .......!
Hii hali ya maamuzi mengi tena mengine madogo madogo kufanywa na rais inaonyesha nchi iko kwenye hali mbaya sana. Rais amekuwa ndiye Katiba na sheria za nchi. Kwa nini nchi imeingia kwenye mtego mbaya namna hii? Kila kitu anaangaliwa rais. Hivi hata yeye haoni kuwa ni tatizo kubwa sana? Tumepata hasara kubwa sana.
 
Tunaishi kwa hisani ya jiwe na siyo sheria na taratibu za nchi
You got it right.

Wengine wote hapa JF wanapigapiga tu kivyao bila kujua mikakati iliyopangwa.

Angalia kwa mfano hii hapa chini.
Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Hata yeye anayetoa "hisani" anajua wapo wengi watu wa aina hii ya aliyebandika mstari huo.
 
Reactions: BAK
Huyu rc mshenzi ndie alikuwa anasimamia hii fitna hii hotel ibomolewe.
 
Jf imeanza kupoteza ladha kwa kufuta futa nyuzi
Mimi nimechoka kuchangia ma nyuzi yasiyo na kichwa wala miguu ya akina Johnthebabtist ,Etwege , Pascal Njaa , nyuzi za wanaccm ndio huwa hazifutwi tuwaacjie jf yao .
 
Aone "kuwa ni tatizo"?

Mkuu nadhani huelewi yeye ni mtu wa aina gani. Vitu kama hivi ndivyo anavyopenda ili kujizolea sifa kwa wasiojua kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…