Wanatumia taasisi za serikali kuwakomoa wapinzani wao wa kisiasa! It’s immoral!Tuna utawala wa hovyo sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia taasisi za serikali kuwakomoa wapinzani wao wa kisiasa! It’s immoral!Tuna utawala wa hovyo sn
There is no politics here, but a fact.Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine
Maendeleo hayana chama
Ni jambo jema!Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine
Maendeleo hayana chama
Hiyo inaitwa “funika kombe mwana haramu apite” au “hewala si utumwa “.Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Yaani imekuwa kila kitu rais; hata jambo dogo la kumalizwa na mamlaka husika. Tumefika pabaya.Lingekuwa na pigo jingine kwa Mr. Sugu. Heri Rais ameamua kuingilia kati. Zimwi likujualo .......!
Kuna watu wana roho mbaya sana halafu utawaona makanisani wanachangisha sadaka.Hotel Desderia si ndio ya Sugu? Hivi wakimvunjia wanapata faida gani zaidi ya kumtia hasara mwenye hoteli pamoja na kuwafanya watu wapoteze ajira zso na serikali kukosa kodi?
Kamanda erythrocytes kibarua kilikaribia kuota nyasi hapo hotelini mshukuru Rais Magufuli!Akizungumza hotelini hapo Mkuu huyo wa Mkoa wa Mbeya amedai kwamba amepata maelekezo kutoka kwa Rais wa Tanzania kwamba Hoteli hiyo isivunjwe kwa vile inavyo vibali vyote vilivyotakiwa kabla ya ujenzi wake na kwamba vyanzo vya maji vilivyopo karibu na hoteli hiyo havijaathirika , hivyo hakuna sababu yoyote ya kuhujumu hoteli hiyo .
Hotel ya Kisasa ya Desderia inamilikiwa na Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini
Niliwahi kuweka uzi humu kuhusu jambo hili lakini ulifutwa kibabe bila hata kuupa nafasi ya kuomba maji ya kunywa , bali nilichojifunza ni kwamba UKWELI HAUFICHIKI , leo kiko wapi ?
Hii hali ya maamuzi mengi tena mengine madogo madogo kufanywa na rais inaonyesha nchi iko kwenye hali mbaya sana. Rais amekuwa ndiye Katiba na sheria za nchi. Kwa nini nchi imeingia kwenye mtego mbaya namna hii? Kila kitu anaangaliwa rais. Hivi hata yeye haoni kuwa ni tatizo kubwa sana? Tumepata hasara kubwa sana.Lingekuwa na pigo jingine kwa Mr. Sugu. Heri Rais ameamua kuingilia kati. Zimwi likujualo .......!
You got it right.Tunaishi kwa hisani ya jiwe na siyo sheria na taratibu za nchi
Hata yeye anayetoa "hisani" anajua wapo wengi watu wa aina hii ya aliyebandika mstari huo.Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Huyu rc mshenzi ndie alikuwa anasimamia hii fitna hii hotel ibomolewe.Akizungumza hotelini hapo Mkuu huyo wa Mkoa wa Mbeya amedai kwamba amepata maelekezo kutoka kwa Rais wa Tanzania kwamba Hoteli hiyo isivunjwe kwa vile inavyo vibali vyote vilivyotakiwa kabla ya ujenzi wake na kwamba vyanzo vya maji vilivyopo karibu na hoteli hiyo havijaathirika , hivyo hakuna sababu yoyote ya kuhujumu hoteli hiyo .
Hotel ya Kisasa ya Desderia inamilikiwa na Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini
Niliwahi kuweka uzi humu kuhusu jambo hili lakini ulifutwa kibabe bila hata kuupa nafasi ya kuomba maji ya kunywa , bali nilichojifunza ni kwamba UKWELI HAUFICHIKI , leo kiko wapi ?
Mimi nimechoka kuchangia ma nyuzi yasiyo na kichwa wala miguu ya akina Johnthebabtist ,Etwege , Pascal Njaa , nyuzi za wanaccm ndio huwa hazifutwi tuwaacjie jf yao .Jf imeanza kupoteza ladha kwa kufuta futa nyuzi
Aone "kuwa ni tatizo"?Hii hali ya maamuzi mengi tena mengine madogo madogo kufanywa na rais inaonyesha nchi iko kwenye hali mbaya sana. Rais amekuwa ndiye Katiba na sheria za nchi. Kwa nini nchi imeingia kwenye mtego mbaya namna hii? Kila kitu anaangaliwa rais. Hivi hata yeye haoni kuwa ni tatizo kubwa sana? Tumepata hasara kubwa sana.
Bora kuwe na jf lite ambayo itakuwa inapatikana kwenye forum nyingine za nje. Na huko ndo tuwe huru kushusha nondo confidentialInabdi wawe na tahadhari sana toka ule uamuzi uliopitishwa na mahakama, hakuna anaetaka kwenda jela!