Siku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufaRubbish kabisa,wewe takataka unaota kuwa Rais?
Kubadili jina sio shida waweza badili majina upendavyo lakini ukasoma ukapata cheti halali hilo sio tatizo tatizo ni cheti feki!!!Huu uzi mkuu unatonesha kidonda, Watanzania wengi walikuwa na akili uwezo, tatizo nafasi fursa masomo zilikuwa adimu , wengi walikariri madarasa ikabidi hata badili majina watimize ndoto.
Umempa dose yake mjinga huyoNi kweli ana huruma sana! Ndiyo maana hata aliposikia kipenzi chake Bashite naye amefoji cheti cha form four, bado alimsamehe! Hakumtumbua kabisa kwenye nafasi yake.
Hapa ndiyo unazidi kumharibia kabisa. Kwann aliajiriwa wakati ana vyeti feki? Watendaji wa serikali waliowaajiri watu hawa wao wamepewa kesi gani?Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Je Phd ipo sahihi?Kubadili jina sio shida waweza badili majina upendavyo lakini ukasoma ukapata cheti halali hilo sio tatizo tatizo ni cheti feki!!!
Angeenda huko kuna ukoo mzima au kabila nzima au familia wagefukuzwa kazi au kwenda jelaHapa ndiyo unazidi kumharibia kabisa. Kwann aliajiriwa wakati ana vyeti feki? Watendaji wa serikali waliowaajiri watu hawa wao wamepewa kesi gani?