YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua