Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka ishirini au 30 leo unakuja kumwambia kwamba ana vyeti feki, unamwachisha kazi, ana familia na wategemezi, mbaya zaidi yupo katika age ya kustaafu
Kwa hiyo.mwizi aliyekuwa akiiba mazao yako shambani unamzawadia kiiunua mgongo?
 
Na wengi wapo sekta binafsi
Ni kweli sekta binafsi nayo ishirikiane na serikali kuhakiki vyeti

Tatizo la ajira lingine linasababishwa na hao wenye vyeti feki Wanabana nafasi za vijana wenye vyeti halali

Sekta binafsi ianze kuhakiki

Uzalushaji na ufanisi sekta binafsi unakuwa Chini sababu ya hao wenye vyeti feki
 
And u support it?
Huu uzi mkuu unatonesha kidonda, Watanzania wengi walikuwa na akili uwezo, tatizo nafasi fursa masomo zilikuwa adimu , wengi walikariri madarasa ikabidi hata badili majina watimize ndoto.
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua

Si kosa lako. Mwezi mchanga. Uliandama juzi.
 
Hugging criminals
Sioni kama hiyo ni huruma, serikali ilikua imelala mpaka ikaajiri wafanyakazi wenye vyeti feki? Huoni kama makosa ni ya serikali na serikali ilitakiwa iwajibike kwa uzembe na sio hao wafanyakazi

Mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka ishirini au 30 leo unakuja kumwambia kwamba ana vyeti feki, unamwachisha kazi, ana familia na wategemezi, mbaya zaidi yupo katika age ya kustaafu

Kama Magufuli na washauri wake wangekua makini, wangeweka mkakati wa kuwaendeleza wale wafanyakazi ambao hawakua na vyeti kwa sababu tayari wana uzoefu mkubwa kazini na pengine wanafanya kazi vizuri kuliko hata wenye vyeti halali, na kwa wale ambao walifika umri wa kukaribia kustaafu wangewaacha wamalize muda wao.
 
Wenye vyeti feki tunatoa tamko kwa pamoja kulaani neno lako
 
Vyeti fake ni kwenye Walimu tu Taasisi nyingine hamna kma wizara ya mambo ya ndani n.k Kuna mda inabidi tuache kuwa na ushabiki wa kijinga huruma kwenye haki na wajibu kama ni haki na utaratibu ufanyike kwenye Taasisi zote sio ushabiki wa kijinga kijinga. na kusifia kinafiki tu mazuri tuseme na mabaya tuseme.
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Watamlipa fadhira kwa huruma yake
 
Kwani huruma inaelezewa kwa maneno yako au huonekana?
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Mbona bashite hakuachishwa kazi?
 
Ni kweli sekta binafsi nayo ishirikiane na serikali kuhakiki vyeti

Tatizo la ajira lingine linasababishwa na hao wenye vyeti feki Wanabana nafasi za vijana wenye vyeti halali

Sekta binafsi ianze kuhakiki

Uzalushaji na ufanisi sekta binafsi unakuwa Chini sababu ya hao wenye vyeti feki
Kwenye majeshi mmeshahakiki?!
 
Back
Top Bottom