Kwa hiyo.mwizi aliyekuwa akiiba mazao yako shambani unamzawadia kiiunua mgongo?Mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka ishirini au 30 leo unakuja kumwambia kwamba ana vyeti feki, unamwachisha kazi, ana familia na wategemezi, mbaya zaidi yupo katika age ya kustaafu
Ni kweli sekta binafsi nayo ishirikiane na serikali kuhakiki vyetiNa wengi wapo sekta binafsi
List ni ndefu kuna LameckNi kweli ana huruma sana! Ndiyo maana hata aliposikia kipenzi chake Bashite naye amefoji cheti cha form four, bado alimsamehe! Hakumtumbua kabisa kwenye nafasi yake.
List ni ndefu kuna Lameck
Huu uzi mkuu unatonesha kidonda, Watanzania wengi walikuwa na akili uwezo, tatizo nafasi fursa masomo zilikuwa adimu , wengi walikariri madarasa ikabidi hata badili majina watimize ndoto.
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Sioni kama hiyo ni huruma, serikali ilikua imelala mpaka ikaajiri wafanyakazi wenye vyeti feki? Huoni kama makosa ni ya serikali na serikali ilitakiwa iwajibike kwa uzembe na sio hao wafanyakazi
Mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka ishirini au 30 leo unakuja kumwambia kwamba ana vyeti feki, unamwachisha kazi, ana familia na wategemezi, mbaya zaidi yupo katika age ya kustaafu
Kama Magufuli na washauri wake wangekua makini, wangeweka mkakati wa kuwaendeleza wale wafanyakazi ambao hawakua na vyeti kwa sababu tayari wana uzoefu mkubwa kazini na pengine wanafanya kazi vizuri kuliko hata wenye vyeti halali, na kwa wale ambao walifika umri wa kukaribia kustaafu wangewaacha wamalize muda wao.
yeah, katumia degree ya Paulo wakati yeye tunamjua yeye ni Daudi.Yupi mwenye digrii halali? Ambayo sio feki?
Watamlipa fadhira kwa huruma yakeKufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Kwani huruma inaelezewa kwa maneno yako au huonekana?Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Mbona bashite hakuachishwa kazi?Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Serikali nincriminal number one kwa kuwaajiri watu wasiokua na vyetiHugging criminals
Kwenye majeshi mmeshahakiki?!Ni kweli sekta binafsi nayo ishirikiane na serikali kuhakiki vyeti
Tatizo la ajira lingine linasababishwa na hao wenye vyeti feki Wanabana nafasi za vijana wenye vyeti halali
Sekta binafsi ianze kuhakiki
Uzalushaji na ufanisi sekta binafsi unakuwa Chini sababu ya hao wenye vyeti feki