Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Kwenye majeshi mmeshahakiki?!
Ndio tumeshahakiki wote wana vyeti vya kumaliza jeshi vya halali kuanzia vya vyuo vya polisi vyuo vya JWTZ nk hakuna mwenye cheti cha jeshi feki tofauti na walimu nk feki waliokuwa na vyeti feki ambavyo hawakusomea waliokuwa makazini

Kila polisi na kila mwanajeshi wana vyeti halali vya kozi za kijeshi
 
Siku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufa
Unajua kama urais ni taasisi?
 
Muulize ni kwanini hajakagua vyeti ktk vyombo vya ulinzi na usalama kama kweli alikuwa na nia nzuri?,
Katafute polisi yeyote au mwanajeshi ambaye ana cheti feki cha kazi ya polisi au jeshi humpati wote wana vyeti halali vya kozi za kijeshi

Sasa nenda wenye vyeti feki uraiani vya taaluma walikuwa kibao wakiongozwa kwa uwingi na walimu wakifuatiwa na wafanyakazi wa halmashauri na serikali kuu na mwisho kwenye mashirika ya umma!!
 
Wamezisotea hizo digrii wewe acha kabisa.

Hata hao wengine waliotumbuliwa nao walizisotea digrii zao! Kufoji ni kufoji tu. Uwe umetumia jina la mtu, cheti cha mtu, nk. Ilitakiwa haki itendeke kwa wote na si kwa kubagua.
 
Mkuu unajitetea tu, angekagua huko Nchi ingesimama. Huko cheti kimoja kinamilikiwa na watu 3.
 
Kwani walipokuwa wanafanya kazi kulikua hakuna uzalishaji? Serikali imedhulumu haki yao
 
Tabulalasa empty head katika ubora wako Dunderhead wa kijani kibichi hivi Kati ya aliyeuza nyumba za serikali kwa Bei ya kutupa , kupunguza upana wa barabara , kununua kivuko kibovu , kula hela za rambirambi za tetemeko la Kagera , kupora korosho , kununua ndege used , kuiba 1.5 tilioni , kutumia pesa za umma bila idhini ya bunge nani anatakiwa aende jela ?
 
Kwani walipokuwa wanafanya kazi kulikua hakuna uzalishaji? Serikali imedhulumu haki yao
Nchi ilikuwa na hali duni ,utendaji kazi maofisini ulikuwa umedorora ukienda ofisi za serikali huduma zilikuwa duni ,
Ufaulu wa wanafunzi ulikuwa mdogo yote sababu kubwa ilikuwa wenye vyeti feki

Baada ya kuondolewa vyeti yote hayo yamebadilika
 
wakati hayo yote yanatokea ulikuwa na juhudi gani za kuzuia?
Heroes behind keyboards.

Viva Magu
Heil JPM
 
[emoji123][emoji123][emoji123]
Nchi ilikuwa na hali duni ,utendaji kazi maofisini ulikuwa umedorora ukienda ofisi za serikali huduma zilikuwa duni ,
Ufaulu wa wanafunzi ulikuwa mdogo yote sababu kubwa ilikuwa wenye vyeti feki

Baada ya kuondolewa yote hayo yamebadilika
 
Ni kweli ana huruma sana! Ndiyo maana hata aliposikia kipenzi chake Bashite naye amefoji cheti cha form four, bado alimsamehe! Hakumtumbua kabisa kwenye nafasi yake.
Hawa makada afadhali wanyamaze saa zingine maana wakiropoka wanaacha manyoya wazi upepo unawaumbua!!
 
wakati hayo yote yanatokea ulikuwa na juhudi gani za kuzuia?
Tulikuwa tukimwandaa Magufuli ashike awashikishe adabu wenye vyeti feki kwani walikuwa wamejijengea mfumo wao wa vyeti feki kuubomoa kulihitaji maandalizi ya kutosha
 
Huu uzi mkuu unatonesha kidonda, Watanzania wengi walikuwa na akili uwezo, tatizo nafasi fursa masomo zilikuwa adimu , wengi walikariri madarasa ikabidi hata badili majina watimize ndoto.
Nina rafiki yangu mmoja yeye hili panga alilikwepa bado anatafuna kodi za wanannchi lakini marafiki zake wote walifyekwa akiwemo rafiki yake wa utotoni ambaye alikariri naye shule moja na wakafaulu wote kwenda sekondari moja.

Hili zoezi lilitakiwe lifanywe kwa umakini sana lakini bahati mbaya sisi wa tz mtu akipewa rungu anongeza na roho mbaya zake juu.
 
Dawa ya kosa ni kulirekebisha.
Tunakili mapungufu ila haitatokea tena

Viva Magu
Heil JPM
Hapo sio kurekebisha bali kuwaadhibu wahusika, nadhani kwa sababu mmekiri kosa, basi mngeweka mkakati wa kudhibiti hayo makosa going foward na sio kukiri makosa kwa kuwaadhibu watu mngejiadhibu ntie kwanza
 
Huu ni kati ya ujinf
Huu ni katui ya upuuzi mkubwa sana kwa mwaka huu.nadhani ni thread iliyoandikwa na mtoto wa chekechea.Unafanya mdhaha na vitu vya msingi.hivi unajua ni wangapi wamepoteza maisha kwa hiyo issue? Hata aliyeleta hiyo hoja ya vyeti feki ukimfuatilia utagundua naye an ufeki flani hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…