Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Upumbavu tupu
Yaan mtu katumika miaka zaidi 30 ...
Yaan mtu katumika miaka zaidi 30 ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumeshahakiki wote wana vyeti vya kumaliza jeshi vya halali kuanzia vya vyuo vya polisi vyuo vya JWTZ nk hakuna mwenye cheti cha jeshi feki tofauti na walimu nk feki waliokuwa na vyeti feki ambavyo hawakusomea waliokuwa makaziniKwenye majeshi mmeshahakiki?!
Unajua kama urais ni taasisi?Siku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufa
Katafute polisi yeyote au mwanajeshi ambaye ana cheti feki cha kazi ya polisi au jeshi humpati wote wana vyeti halali vya kozi za kijeshiMuulize ni kwanini hajakagua vyeti ktk vyombo vya ulinzi na usalama kama kweli alikuwa na nia nzuri?,
Wamezisotea hizo digrii wewe acha kabisa.
Mkuu unajitetea tu, angekagua huko Nchi ingesimama. Huko cheti kimoja kinamilikiwa na watu 3.Katafute polisi yeyote au mwanajeshi ambaye ana cheti feki cha kazi ya polisi au jeshi humpati wote wana vyeti halali vya kozi za kijeshi
Sasa nenda wenye vyeti feki uraiani vya taaluma walikuwa kibao wakiongozwa kwa uwingi na walimu wakifuatiwa na wafanyakazi wa halmashauri na serikali mkuu na mwisho kwenye mashirika ya umma!!
Kwani walipokuwa wanafanya kazi kulikua hakuna uzalishaji? Serikali imedhulumu haki yaoKufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Serikali nincriminal number one kwa kuwaajiri watu wasiokua na vyeti
Nchi ilikuwa na hali duni ,utendaji kazi maofisini ulikuwa umedorora ukienda ofisi za serikali huduma zilikuwa duni ,Kwani walipokuwa wanafanya kazi kulikua hakuna uzalishaji? Serikali imedhulumu haki yao
Tabulalasa empty head katika ubora wako Dunderhead wa kijani kibichi hivi Kati ya aliyeuza nyumba za serikali kwa Bei ya kutupa , kupunguza upana wa barabara , kununua kivuko kibovu , kula hela za rambirambi za tetemeko la Kagera , kupora korosho , kununua ndege used , kuiba 1.5 tilioni , kutumia pesa za umma bila idhini ya bunge nani anatakiwa aende jela ?
Nchi ilikuwa na hali duni ,utendaji kazi maofisini ulikuwa umedorora ukienda ofisi za serikali huduma zilikuwa duni ,
Ufaulu wa wanafunzi ulikuwa mdogo yote sababu kubwa ilikuwa wenye vyeti feki
Baada ya kuondolewa yote hayo yamebadilika
Hawa makada afadhali wanyamaze saa zingine maana wakiropoka wanaacha manyoya wazi upepo unawaumbua!!Ni kweli ana huruma sana! Ndiyo maana hata aliposikia kipenzi chake Bashite naye amefoji cheti cha form four, bado alimsamehe! Hakumtumbua kabisa kwenye nafasi yake.
Nina rafiki yangu mmoja yeye hili panga alilikwepa bado anatafuna kodi za wanannchi lakini marafiki zake wote walifyekwa akiwemo rafiki yake wa utotoni ambaye alikariri naye shule moja na wakafaulu wote kwenda sekondari moja.Huu uzi mkuu unatonesha kidonda, Watanzania wengi walikuwa na akili uwezo, tatizo nafasi fursa masomo zilikuwa adimu , wengi walikariri madarasa ikabidi hata badili majina watimize ndoto.
Hapo sio kurekebisha bali kuwaadhibu wahusika, nadhani kwa sababu mmekiri kosa, basi mngeweka mkakati wa kudhibiti hayo makosa going foward na sio kukiri makosa kwa kuwaadhibu watu mngejiadhibu ntie kwanzaDawa ya kosa ni kulirekebisha.
Tunakili mapungufu ila haitatokea tena
Viva Magu
Heil JPM
Huu ni kati ya ujinfKufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Huu ni katui ya upuuzi mkubwa sana kwa mwaka huu.nadhani ni thread iliyoandikwa na mtoto wa chekechea.Unafanya mdhaha na vitu vya msingi.hivi unajua ni wangapi wamepoteza maisha kwa hiyo issue? Hata aliyeleta hiyo hoja ya vyeti feki ukimfuatilia utagundua naye an ufeki flani hivKufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi