Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dikteta uchwara.Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Hapo sio kurekebisha bali kuwaadhibu wahusika, nadhani kwa sababu mmekiri kosa, basi mngeweka mkakati wa kudhibiti hayo makosa going foward na sio kukiri makosa kwa kuwaadhibu watu mngejiadhibu ntie kwanza
Huna hoja kijana wa ccm. Kama utendaji ulikua duni kusingekua na maendeleo. Kajipange tenaNchi ilikuwa na hali duni ,utendaji kazi maofisini ulikuwa umedorora ukienda ofisi za serikali huduma zilikuwa duni ,
Ufaulu wa wanafunzi ulikuwa mdogo yote sababu kubwa ilikuwa wenye vyeti feki
Baada ya kuondolewa vyeti yote hayo yamebadilika
huo urais utaushika kwa mikono ewe TAGA?Siku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufa
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Yalifanywa hovyo mfano mwalimu mwenye cheti feki alikuwa akifundusha nini kama sio ubabaishaji? Ndio maana watoto walikuwa wakimaliza shule ya msingi hawajui kusoma wala kuandikaNa vipi kuhusu majukumu ya kazi walizopewa na kutekeleza yalikuwa batili?
Alipaswa kwanza awashughulikie wale waliowaajiri wenye vyeti feki.Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Kwa hiyo unataka mtu asiye na cheti apelekwe muhimbili akaonyeshe uwezo wake wa kufanya operation?Wewe mwenyewe ni feki.
Kama ulifundishwa na mwalimu mwenye cheti feki, pia wewe ni feki x 2
Kama ulitibiwa na daktari feki ukapona, basi kupona kwako ni feki x 2
Tatizo watu wamekuwa wanaangalia vyeti badala ya kuangalia uwezo na utendaji kazi wa mtu.
Kama mtu alitumia jina la mtu kwenda shule, aliye kuwa darasani ni yule mtu na si jina/cheti. Sasa kama mtu amekaa darasani kwa jina feki lakinia akafaulu mitihani yote kwa jina feki, je huyo mtu anatatizo gani?
Lakini pia seriousi muadilifu kwa sababu aliwafukuza wote wenye vyeti feki akamuacha mmoja tuKufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Rais ndiye mwajiri mkuu.Mwajiri mkuu aliyeshindwa kuweka mfumo wa kugundua vyeti feki mpaka watu wakatumikia miaka yote hiyo.In short mfumo ulichangia na lilikuwa ni kosa kubebesha lawama upande mmoja.Watu wangapi wa utumishi na uajiri walifukuzwa? (Hii ni kwa serikali zote za CCM na si Magufuli peke yake)Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Anayeshikwa na Mali ya wizi ndie mwizi. Aliyekutwa na cheti feki ndie mwizi mwenyewe.Wewe ndie umekutwa na cheti feki utamsukumiaje mtu mwingine?Rais ndiye mwajiri mkuu.Mwajiri mkuu aliyeshindwa kuweka mfumo wa kugundua vyeti feki mpaka watu wakatumikia miaka yote hiyo.In short mfumo ulichangia na lilikuwa ni kosa kubebesha lawama upande mmoja.Watu wangapi wa utumishi na uajiri walifukuzwa? (Hii ni kwa serikali zote za CCM na si Magufuli peke yake)
Huu ni mjadala mpana sana ambao tukiufuatilia kuna hata hukumu inabidi zibatilishwe na hata watu wanaweza kudai fidia serikali kwa mfano kwa kutibiwa na daktari ambaye hakustahili.
Kwa hiyo unataka mtu asiye na cheti apelekwe muhimbili akaonyeshe uwezo wake wa kufanya operation?
Mtu ambaye ana cheti feki cha ualimu aajiriwe kufundisha?
Mmmmmm mtu anapimwa kwanza anakosomea kupata cheti halali sio wodini.