Tunataka uchaguzi ulio huru na wa haki.Mkuu kwani wakija ndo wataipigia kura chadema ili ishinde?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kabisa Mkuu, Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
Mwambie membe akachukue fomu
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
Huo ndiyo ukweli wenyewe sasa.
Hatari sanaHatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Kuanzia kesho wakati wowote anatinga lumumba au pale dodoma kuchukua hiyo form maana sisi wana ccm tunamuhitaji yeye tu
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Tutamsindikiza bila wasiwasi
na wewe mbona unakuwa kama umezaliwa jana,kwani hao waangalizi kwenye hizo chaguzi zingine si walikuwa wanakuja na ni kipi tofauti walichokifanya ambacho hata waje au wasije watakifanya,mnatumalizia bando tu kwa kuandika uporotoHatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Angalia jinsi anavyo handle issue ya Corona.
umemuuliza swali la msingi sanaKwani wakija watabadili nini?!
changamoto kubwa ni kuwa watu wanaanza kuleta hisia za uchama kwenye ishu sensitive kama hiihebu tueleweshe isiwe unasema tu kumbe na wewe hujui
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Ninakubaliana nawe (100%) kwa sababu zifutazo:Mwaka huu mtapiga ramli sana na uchaguzi utafanyika na JPM atarudi ikulu amilzie amiradi mikubwa aliyoiasisi na kuanzisha miradi mingine.....hutegemei pesa ya wahisani kuendesha uchaguzi wetu.